Padri mtarajiwa anahoji kuhusu Mahusiano Mapenzi na Urafiki wenu

bonem

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
235
55
Habari zenu ndugu zangu wapendwa.

Naendelea na maandalizi ya upadri ila nikijua kuwa ninyi ni sehemu ya waumini wangu napenda kuhoji
mnaufurahia uhusiano na urafiki wenu?

Katika mahusiano mapenzi na urafiki wenu mnamshirikisha Mungu kwa kiasi gani? Mnamshirikishaje?

Mnapata ushauri wa viongozi wenu wa kiroho juu ya mahusiano yenu? Mnafuata miongozo yao?

Mna dukuduku kuhusu mahusiano mapwnzi na urafiki wenu? Padri wenu mtarajiwa nimerejea hapa.
 
Bwanaaaaa awe nanyiiiiiiii! Awe pia namiiiiiii!! Hahaha we wataka kuoa kwanza?? Kama upo kwenye fungu la uoaji watakiwa kujua ila kama ni padiriii nendaaa kwa church utapewa elimuu zaidi or mtafute mr mihogo atakusaidiaaaaa
 
umejibu swali lipi kati ya hayo niliyouliza???
 
We baba paroko padri wewe! Unafanya nini humu kama si kumtafuta shetani ili akujaribu?
 
Ndugu Padri mtarajiwa huku hutapata majibu ya maswali yako uliyouliza. Sana sana watu wenye pepo wachafu watakuja kuchafua hali ya hewa muda siyo mrefu.
 
Ndugu Padri mtarajiwa huku hutapata majibu ya maswali yako uliyouliza. Sana sana watu wenye pepo wachafu watakuja kuchafua hali ya hewa muda siyo mrefu.

ni kazi yangu kupambana na huyo pepo kwa hiyo siwezi kuondoka labda hao watu wabadilike. umenielewa???
 
ni kazi yangu kupambana na huyo pepo kwa hiyo siwezi kuondoka labda hao watu wabadilike. umenielewa???
Ndugu padri wewe ungeanza tu na mapambano dhidi ya mapepo haya maswali yako hutapata jibu la maana humu.
 
Back
Top Bottom