Padri mmoja huko Poland amuombea Papa Francis kifo cha mapema zaidi

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,904
Duniani kuna vituko.

Huko Poland, padri mmoja amemuombea kifo Papa Fransis mapema iwezekanavyo baada ya kudai kua papa ni pandikizi ndani ya kanisa.

Huyo padri anamtuhumu papa kukiuka misingi ya kanisa, kutaka kulivuruga kanisa hasa pale alipowaomba makasisi kufungua milango kuwakaribisha waislam.

Jamaa kamtuhumu papa hadharani na kusema kua huyo papa heri afe mapema ili kulinusuru kanisa.

=========

A Catholic priest from Poland is facing rebuke after calling Pope Francis a "foreign body" in the church and implying the Pope should pass away soon if his views on refugees and non-Christian beliefs don't change.

"I pray for wisdom for the pope, for his heart to open up to the Holy Spirit. And if he does not do that, I pray for his quick departure to the House of the Father," Father Edward Staniek said during a homily in Krakow last month, according to an English transcription of his words.

"I can always ask God for a happy death for him, because a happy death is a great grace," he said.

During the homily, the prominent priest and theologian also took issue with some of the Pope's more liberal ideas on immigration, divorce and Islam.

Of Muslims, Staniek said there is "no way to dialogue with them.""In the name of mercy, [Pope Francis] calls parishes and dioceses to open the door for the followers of Islam," he said during his homily. "As a religion, they are hostile to the Gospel and the Church.

They murdered millions in religious wars...We can show mercy to those Muslim believers who are dying of hunger or thirst. The doors of the diocese and the parish may be open only to believers in Jesus Christ."

Staniek's words were censured by the Archbishop of Krakow, Marek Jedraszewski."It is with great pain and sorrow that I have heard of the remarks about Father Francis by Fr.

prof. Edward Staniek during his homily at The Church of the Felician Sisters in Krakow. I raised this matter during my personal conversation with him," the statement reads.

Source: CNN
 
kwa namna fulani, padri yuko sahihi. As he said, "As a religion, they are hostile to the Gospel and the Church." wasiwasi wangu ni kuwa as time goes, kanisa na ukristo vinataka kuwa watumwa wa Islam. I would not be there, ila huko mbeleni kuna shida sana.
Kaka Prof tafuta kitabu cha The Clash of Civilization cha Samuel Huntington.
Uliyoyasema utayakuta mle ndani. Lakini tujiulize swali la Msingi sana.
Je, kwa mwenendo huu wa Papa Francis Kanisa la Katoliki halitagawanyika kweli na kuzaa makundi mengi ??

NB: Maana huko nyuma mwaka 1054 mambo kama haya yalisababisha Kanisa kugawanyika mara mbili.
Kukawa na Wakatoliki wa Kilatini na Waorthodiksi wa Kigiriki. Tena Mnamo Karne ya 16 Kanisa likapata Mgawanyiko tena na Waprotestanti wakajitenga tukashudhudia 1601 Waingereza wametengeneza Angilikana na Wajerumani Ulutheri.

Ukifuatilia vizuri sana,
Maneno huwa yalikuwa hivi hivi dhidi ya The Papacy "They are hostile to the Gospel of the early Church"
Tunaendea kushuhudia mtikisiko mkubwa sana wa Siasa, falsafa na Imani za hapa ulimwenguni ili kutengeneza New World Order. Ambapo ili dunia ikae sawa lazima wote tuwe na namna moja ya kufikiri (Ukristo utatikiswa sanaa sanaaa)

Cc: Consigliere
 
Unaonekana msomi mzuri, lakini nashangaa kwamba kichwani mwako.huna maarifa mazuri kuhusu ukristo. Yaani vitabu vyoote hapa duniani ukipewa unaweza kuvisoma na kuvielewa ila biblia imekushinda kabisa. Hebu nenda usome ufunuo sura ya 12-17. Ukisoma vizuri ukiwa na akili huru ya kutaka maarifa ya Mungu, Roho mtakatifu atakuwezesha kuelewa.

Ila nikwambie jambo moja tu, kadiri dunia inavyozodi kusonga ndivyo tutakavyo shuhudia ukatoliki imara na kwenye nguvu na heshima kuu kuliko ilivyokuwa wakati wowote. Kadiri tunavyokaribia marejeo ya mwokozo ndivyo kutakuwa na ukatoliki ulioungana na kushikamana sana. Ukatoliki hautagawanyika bali utaungana. Kama yupo analala anaota ukatoliki umegawanyika basi ajue hiyo ndoto ni nguvu ya msongo wa mawazo au maharage maana haina asili kwa MUNGU wala kwa mungu.
 
Sehemu gani kwenye Biblia wametaja Ukatoliki au dhehebu lolote lile ???
 
Ndo maana nilikwambia kichwa chako hakina maarifa ya ukristo na biblia kwa ujumla and yet unaota kuona ukatoliki ukigawanyika siku za usoni. Unadhani Mungu ni mpiga ramli, atoe neno lake lishindwe kuthibitisha alama za kilitambua kanisa lake. Biblia sehemu kubwa imejaa lugha za alama, sasa ni wajibu wako kuzitambua hizo alama zina maanisha nini.

Kama zilivyo alama za barabarani, zisivyokuwa na maneno yanayitaja jina moja kwa moja ndivyo zilivyo alama za biblia pia. Soma ufunuo 12 hapo Mungu ametaja sifa za kanisa lake akitumia kieleleza cha mwanamke. Linganisha na mafungu haya pia; ufunuo 17:2-6, Ezekiel 23:2-4, ufunuo 21:2
 
Kwa hiyo hivi vifungu ndiyo vinaongelea Kanisa Katoliki siyo ???
Halafu uwe unajaribu kutumia akili hata kidogo na uwe na uhakika na unachokisema kabla ya kuleka kashfa,
kama tu Mgawanyiko Ulianzia mbinguni kwa Malaika Watakatifu wasiojua dhambi sembuse Kanisa Katoliki ???
Mbona hata Mtume Paul na Barnaba waliojazwa na Roho Mtakatifu kuliko kizazi hiki waligawayika kuhusiana na (Yohana
aitwaye Marko) sembuse haya madhehebu yenu ya kizazi hiki ???

NB: Jifunze kuelewa vitu kabla ya kukurupuka kujibu,
Kugawanyika haimaanishi neno la Mungu halitatimia (Uwe na akili wewe)
Halafu usipende kuitafsiri Biblia Takatifu kama Farisayo au Sadukayo aliyeemini kama Wokovu ni kwa Wayahudi tu.
 
Huyo padri sijui kama alimuelewa Yesu na ule mfano wa kumuomba maji ya kunywa mwanamke wa kisamaria!

Sijui kama alijifunza kitu jinsi Sauli (Paulo) alivyopokelewa ktk kanisa?

Sijui kama alielewa yale maelekezo ya Yesu ya kwamba mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na shavu la kuume?

Sijui kama huyo padri anaelewa ile sala ambayo Yesu aliwafundisha wafuasi wake pale anaposema "utusamehe dhambi zetu kama na sisi tunavyo wasamehe waliotukosea".

Kuna mtu alikuwa hostile kwa wakristo au kwa kanisa kabla hajawa mkristo kama Sauli yule aliekuja kuitwa Paulo?

Unaweza kushangaa huyu padre alipataje daraja la upadre!

Padre huyo bado anamawazo kama ya wale walionyanyua upanga na kufanya The Crusade war thidi ya wasiokuwa wakristo. Huyo anamawazo ya yule mfuasi wa Yesu aliechukua upanga na kutaka kuwashamvulia waliokuja kumkamata Yesu usiku ule ktk bustani.
 
Hapo kwenye Ubaguzi Mkuu una hoja nzito,
Lakini kuhusu Talaka kwa Wakristo Biblia Takatifu inasemaje ???
Mkuu hili swali lako nilimuuliza sister wa kikatoliki wakati wa somo la ndoa kipindi cha dini tukiwa high school form 5.

Kulikuwa na somo la ndoa ni nini, namna bora ya kutafuta mchumba, kisha ndoa na elimu ya uzazi, uzazi wa mpango, na wajibu na malezi ya wanafamilia.
Kanisa lilianzisha mapema elimu hii ya jamii kabla ya serikali kuliweka ktk mitaala yake.

Sikupata majibu mazuri.
Naomba nisikujibu leo hasa kwenye mada thread hii.
 
Mkuu achana na hayo ya Sister,
Biblia Takatifu inasemaje kuhusu Talaka kwa wafuasi wa Kristo ???
Musa aliwaruhusu wana wa Israel kuwaacha wake zao kwasababu ya uzinzi. Yaani mkeo akichepuka unampiga chini.

Yesu Alisema hakuna Talaka ya ndoa.
Pia anadai musa aliruhusu kwasababu ya ugumu wa mioyo ya Israel kipindi Kile.
 
Sasa tumfuate nani katika hili??
Nabii Mussa, Yesu wa Nazareth au Baba Mtakatifu ???
 
Back
Top Bottom