Padri Karugendo: Spika huyu si bora kwa Bunge la Wananchi!

Hao mapandri sasa wataka kuwapanda watu vichwa
sijawahi kuona mtu yuko offended na neno "padri" kiasi hiki. jaribu kutoa neno padri kwenye post alafu weka comment kuhusu hio topic.manake umeenda out of topic bila sababu yoyote zaidi ya chuki za kidini.
 
Mapadre wanakosa muelekeo, wanaingilia siasa wanshindwa kutekeleza wajibu wao makanisani, kukosa mwelekeo wanashindwa hatakuelewa kua u-gay nilaana ya mungu na kubaka watoto ni dhambi. Put your houses in order kabla ya kuingilia siasa. Malabouk
ha ha ha hizi ndio zinaitwa stress za maisha.rudia kusoma post alafu njoo upya lool manake sioni kama masheikh na maustadhi hawako wanaofanya vitu ulivyotaja.ni asilimia chache sana kwenye dini zote wako hivyo lakini hii post ilikuwa sio ya kuwahukumu mapadri wala masheikh topic inahusu spika.kama una ujumbe kwa ma padri fungua post mpya habari mchanganyiko utume ujumbe sio kuja hapa kujaribu kupotosha wanajf hili wasichangie kilichowekwa hapa.
 
Mapadre wanakosa muelekeo, wanaingilia siasa wanshindwa kutekeleza wajibu wao makanisani, kukosa mwelekeo wanashindwa hatakuelewa kua u-gay nilaana ya mungu na kubaka watoto ni dhambi. Put your houses in order kabla ya kuingilia siasa. Malabouk

Awe padre, askofu, shekhe au vyovyote vile kama mtanzania amejenga hoja nzito na hatuna hiari ila kuzitafakari. Mkuu mbona unajribu ktuondoa kwenye hoja, au unauhusiano na spika?
 
Siasa = dini

Mnajua nini maana na kazi ya wachungaji?
Wachungaji ni sehemu ya jamii, wanaguswa na kila ovu la nchi hii na wana haki kama raia wengine katika nchi hii.
Mchungaji uhakikisha kondoo au mbuzi anaochunga wanapata malisho safi. Maji ya kunywa safi. Matibabu safi. Mazizi safi. Na welfare zingine za wanyama wao.
Sasa ikitokea havipo what should they do? Wapumzike tu bila kusema kwa matajiri kwamba sasa hawalidhiki na hali ya kondoo wao?
You people !!!.
 
Back
Top Bottom