Padri karugendo ni huruma kwa mashoga au ni shoga anatafuta jukwaa huru

Wewe mwenyewe ndio padre karugendo nini?

Au na wewe ni shoga....hakuna kitu kama kuzaliwa homosexual ni tabia mbaya tu period..

Na inatakiwa kusiwe na huruma hata kidogo kwa upuuzi huu..unahurumia watu ambao mungu amewalaani?

Hapa tunachangia hoja. Ukiwa na hoja changia na kama huna acha!
 
kwa kweli hata mimi ni mmoja wa wale wasiomwelewa padri karugendo,napenda kusoma makala zake kwenye gazeti la raia mwema na tanzania daima,kuna makala zingine zinakuwa nzuri na zenye maonyo na mafundisho.
Lakini katika makala zote zinazohusu ushoga msisitizo huwa si kukemea bali kutafuta namna ya kuwasikiliza mashoga sauti zao, INAWEZEKANA kabisa na yeye ni mmoja wa hao mashoga,hajawahi kujikiita kukemea,juhudi kubwa huiweka kuiaminisha jamii kuwa ushoga ni mfumo ambao jamii haiwezi kuishi bila kuwa nao,anaona ni bora jamii iukubali 'mfumo'huyo.

Mimi nadhani ni vizuri tuwe tunachangia hoja tukiwa 'open-minded'. Maana hayo uliyoandika inaonesha uko biased kwa mtu amabye hujamwelewa alitaka nini. Lakini tuchukulie kuwa hata yeye ni shoga, je kudhania hivyo kunasaidia nini? Cha msingi ninachokiona ni kwamba kwa hili la ushoga tayari ni tatizo limeshafika nyumbani (hapa Tanzania). Wiki hii nilikuwa nikisikiliza shoga moja kwenye radio (sauti ni ya kike 100% lakini yeye anadai ni mwanaume) na alikuwa akielezea jinsi alivyoanza na hata kufikia kujitangaza. Anasema anaitwa Ramadhani (kama sikosei) na sasa anajulikana kama Anti Suzi. Stori yake inasikitisha lakini sasa ndivyo hivyo. Kwa bahati mbaya zaidi anadai baba yake ni sheikh wa msikiti fulani hapa Dar es Salaam na sasa ameishasimamishwa na uongozi wa msikiti kwa sababu hiyo. Kwa hiyo, anaona uchungu kwamba maisha yake binafsi yameifanya familia iwe na sifa ya namna hiyo.

Mimi nadhani ni vizuri kama hatuna uelewa mzuri wa tatizo hili tujaribu kutafiti vizuri na tuchangie tukijua A-Z ya tatizo lenyewe kuliko kumhukumu mtu kwa vile anajaribu kuchangia tatizo analionaje yeye mwenyewe.
 
Kuendelea kujadili huku ukibembeleza bembeleza utafikiri ushoga ni hoja inayohitaji mjadala ..

Una prove tu kwamba wewe na huyu padre mashoga na mnaendekeza uchafu period
 
QUOTE=Topical;2604466]Uko obsessed na waislamu???

Hakuna sheikh shoga wewe..akijulikana adhabu yake kunyongwa hadharani..

Sas padre mzima unatetea maovu..tutafika kwenye uadilifu kweli?

My God! Mbona hunielewi? Niliandika hivi: " Kudhani hivi ni off point! Mashoga wapo hata masheikh, mapastor na hata wasio na dini. Kulsukumia ushoga tu kwa Kanisa Katoliki nadhani inaonesha tu kuwa una obsession. Kwa mtu ambaye hajatembea ndiyo atadhani ushoga uko tu kwenye seminari za Kikatoliki. Nenda Southa Afrika au tu Ulaya, ambako imani ya dini imepungua kwa kiasi kikubwa - mtu anazaliwa hadi kufa na hajui kama kuna Mungu au la na uone idadi ya mashoga jinsi ilivyo kubwa. Hivyo, naona tu ni kukosa exposure ndio utadhani ni tatizo la kundi fulani la watu. Lakini hata hapa Dar es Salaam - tembelea sehemu ambako wana taarab siku hiyo utakutana nao kwa wingi na utakuta hawakusoma seminari hata kidogo!"

Kwa nini umechagua tu masheikh na kuniambia niko obsessed na Waislamu? Mtu yeyote anaweza kuwa shoga awe padre, papa, askofu, kardinali, sheikh, rais, mbunge, waziri, budha, traditional believer, atheist, spiritualist, etc. Title ya mtu siyo immunity kwa mtu kuwa attracted kwa watu wa jinsia yake. Najua wewe ni mmoja wa wale wasiosuribiri kuelewa hoja maana wanadhani watachelewa kuchangia hoja na hivyo wanakimbilia kutoa hukumu ili baadaye ndiyo waje waelewe. Pole sana ndugu yangu - ila sijatetea uovu sehemu yoyote ile. Najaribu tu kuchagia jinsi gani ninavyoelewa kuhusu ushoga kama na wewe unavyofanya.[/QUOTE]

Mtu yeyote mchafu anaweza kuwa shoga...

Mtu yeyote mchafu atakaa chini kuwatetea...

Mtu yeyote mchafu ataendekeza uchafu huo..

No wonder kanisa lina wachafu (mashoga) wengi duniani..hadi wakuu wa makanisa..
 
Wewe mwenyewe ndio padre karugendo nini?

Au na wewe ni shoga....hakuna kitu kama kuzaliwa homosexual ni tabia mbaya tu period..

Na inatakiwa kusiwe na huruma hata kidogo kwa upuuzi huu..unahurumia watu ambao mungu amewalaani?

Wanyongwe!
 
Kuendelea kujadili huku ukibembeleza bembeleza utafikiri ushoga ni hoja inayohitaji mjadala ..

Una prove tu kwamba wewe na huyu padre mashoga na mnaendekeza uchafu period

Mimi siwezi kuingia kwenye mawazo yako na kukuzuia kufikiri kama unavyofanya. Kama inakufurahisha kufanya hivyo endelea. Kusema unavyosema hakunifanyi mimi niwe shoga, bro! Ila nasikitika kuwa tuna mawzo finyu kiasi hicho!
 
My God! Mbona hunielewi? Niliandika hivi: " Kudhani hivi ni off point! Mashoga wapo hata masheikh, mapastor na hata wasio na dini. Kulsukumia ushoga tu kwa Kanisa Katoliki nadhani inaonesha tu kuwa una obsession. Kwa mtu ambaye hajatembea ndiyo atadhani ushoga uko tu kwenye seminari za Kikatoliki. Nenda Southa Afrika au tu Ulaya, ambako imani ya dini imepungua kwa kiasi kikubwa - mtu anazaliwa hadi kufa na hajui kama kuna Mungu au la na uone idadi ya mashoga jinsi ilivyo kubwa. Hivyo, naona tu ni kukosa exposure ndio utadhani ni tatizo la kundi fulani la watu. Lakini hata hapa Dar es Salaam - tembelea sehemu ambako wana taarab siku hiyo utakutana nao kwa wingi na utakuta hawakusoma seminari hata kidogo!"

Kwa nini umechagua tu masheikh na kuniambia niko obsessed na Waislamu? Mtu yeyote anaweza kuwa shoga awe padre, papa, askofu, kardinali, sheikh, rais, mbunge, waziri, budha, traditional believer, atheist, spiritualist, etc. Title ya mtu siyo immunity kwa mtu kuwa attracted kwa watu wa jinsia yake. Najua wewe ni mmoja wa wale wasiosuribiri kuelewa hoja maana wanadhani watachelewa kuchangia hoja na hivyo wanakimbilia kutoa hukumu ili baadaye ndiyo waje waelewe. Pole sana ndugu yangu - ila sijatetea uovu sehemu yoyote ile. Najaribu tu kuchagia jinsi gani ninavyoelewa kuhusu ushoga kama na wewe unavyofanya.

Mtu yeyote mchafu anaweza kuwa shoga...

Mtu yeyote mchafu atakaa chini kuwatetea...

Mtu yeyote mchafu ataendekeza uchafu huo..

No wonder kanisa lina wachafu (mashoga) wengi duniani..hadi wakuu wa makanisa..[/QUOTE]

Pole sana, Tropical. Nadhani kutoelewa kwako ni kitu gani nakizungumza ndicho kinachokufanya uhitimishe kuwa nawatetea mashoga. Why can't you take time to read what I've written and understand? Labda wewe ndiyo unayewatetea na unatetea uchafu! Don't put me in that, please! Kama umeshindwa kuelewa usme ueleweshwe tena!
 
Mimi siwezi kuingia kwenye mawazo yako na kukuzuia kufikiri kama unavyofanya. Kama inakufurahisha kufanya hivyo endelea. Kusema unavyosema hakunifanyi mimi niwe shoga, bro! Ila nasikitika kuwa tuna mawzo finyu kiasi hicho!

Kwani lugha gani ngumu hapa unatumia ambayo mtu anashindwa kuelewa mkuu? is this trinity paradox?

Hakuna kitu ngumu...ushoga ni uchafu, anayetetea ni mchafu, anayetaka kuweka mazingaira kwamba tuwajidili ni mchafu..

Hilo wala huhitaji akili nyingi ....watu kama nyinyi ndio mnaoharibu dunia kwenye mijadala ya kijinga mkijidai mnahuruma kumbe ni mashoga mliojificha kanisani
 
Magobe T
Anacho kitetea na kukiamini Karugendo ndicho unacho fanya na wewe
Pamoja na maelezo yako mengi ya kijanja janja labda uniweke sawa hili
Je unataka nchi hii iwatambue mashoga kwanza ili ipate kuwasikiliza na kujua namna ya kuikabili hali yao?
Je unataka jamii iwakubali na kuwaona wanafanya kitendo cha kawaida kabisa ili iwe nao karibu kujua namna ya kuwasaidia
Na la mwisho, Naona wengi wanakuita pastor, na mimi nakujua vizuri ktk jukwaa la dini kwa misimamo yako ya kutotaka Bible ipindishwe
Pia Karugendo ni ex padri, sasa kama ninyi watu wa dini mnataka eti dhambi iongeleke kwa kukubalika na jamii kwanza ili iweze kutatuliwa ndio maagizo ya Bibilia hayo. Bibilia inatamka hiyo ni laana na wewe na Mwenzako Karugendo mnasimama miongoni mwa wakristo na kusema hayo mnayo yasema bila hata ya kumuogopa Mungu wenu.
Kwa mujibu wa Bibilia dhambi yoyote ni UNDEBATABLE, hamuwezi kusimama mbele ya watu kuanza kusema eti laana hii sio siri tena na ni tatizo kwa jamii hivyo tuikubali na kuwasikiliza. ndio mafundisho ya ukristo hayo
Kama tutaanza na Mashoga kuwa hoja zao zinajadilika, zitakuja za wachawi nazo zinajadilika maana kunawengine wamelazimshwa kuwa wachawi na kuendele kujadilizingine na zingine.
Ni ajabu sana kuona watu wanaobobea kwenye dini ndio wanakuja na hoja kama hizi zinazopaswa kutolewa na wanasiasa
Kama ninyi mnakuwa ma activist wa ushoga je ile dhana ya ukristo unakubaliana na ushoga tutaikwepa vipi, haya mambo yalianza hivi hivi na ndio maana leo hii kanisa Anglikana linasimika mashoga kuwa viongozi kwasababu ya hoja kama zenu kuwa linajadilika.
Nime msoma mara nyingi sana Karugendo na mara nyingi sana amekuwa akiwatete sana mashoga wasikilizwe, na sitaki kumuhukumu karugendo na wote mlio na msimamo kama wake, lakini maranyingi sana historia inonyesha watu walio simama kuutetea sana ushoga baada ya miaka kadhaa wanakuja julikana na kujitangaza kuwa ni mashoga
 
Nadhani hatujaelewana tu lugha ninachokisema. Nasema hivi hisia hazimfanyi mtu kuwa mdhambi. Kinachomfanya mtu kuwa mdhambi ni tendo baya analoamua mtu kutenda. Mfano, mtu hatendi dhambi ya mauaji kwa kuwa tu na mawazo ya kumwua mtu fulani; mtu huyo atatenda dhambi atakapoamua kumwua mtu anayemfikiria. Mtu hatendi dhambi ya uzinifu (heterosexual) kwa kuwa na mawazo ya kuzini na mke wa mtu (maana mawazo au hisia zinakuja na kutoka); mtu huyo atatenda dhambi atakapoamua kufanya hivyo moyoni mwake na kwa vitendo vyake. Mtu hatendi dhambi kwa kuvutiwa kimapenzi (heterosexual) na mke wa mtu - atatenda dhambi akiamua kufanya mapenzi na mke wa mtu. Tuje sasa kwa homosexuals: homosexual pia hatendi dhambi kwa kuvutiwa na watu wa jinsia yake bali atatenda dhambi kama atatenda tendo lolote (la kimapenzi) lisilo la kiadilifu. Siyo homesexuals wote wanafanya mapenzi. Walau kwa baadhi ya wale niliosoma na kufanya kazi nao walikuwa wakisema hivyo, ingawa baadhi yao walikuwa pia wanasema wanafanya.

Hivyo, hatuwezi kuwaweka kapu moja na kuwahukumu kwa dhambi ambayo hata hawajafanya. Chukulia mtu ambaye ni 'addicted' kwa kitu fulani - ingawa angetaka kuacha lakini hana control tena. Sitaki kusema homosexuals wote ni 'addicted' ila kuna baadhi walianza kwa kujaribu na hatimaye wamejikuta wamekuwa 'addicted' na wanaona shida kuacha. Hawa wanahitaji msaada. Lakini kwa mawazo tuliyonayo kuhusu hawa watu sidhani kama wanaweza pia kupata msaada wowote hata katika michango yetu ya humu maana baadhi ya wachangiaji hawasubiri wamwelewe mtu wanakimbilia kwenye judgement hata kabla ya kuelewa jambo lenyewe likoje. Wanaona wakisubiri waelewe watachelewa kuchangia. Sisi wengine tuna'exposure' kwa haya mambo kwa miaka mingi tu. Siyo exposure kwa maana ya kushiriki bali kwa maana ya kusoma na kufanya kazi na watu wa namna hiyo na jinsi baadhi yao wanavyohangaika wawe kama wengine ila wanajiona wanahukumiwa na jamii hata kwa mambo ambayo wao hawatendi.

Kusema homosexuality imeanzia kwa wazungu ni kukwepa hoja. Ukisoma 'cultural anthrolopolgy' utakuta kwamba hata Waafrika wamekuwa waki'practise' homosexuality kwa njia mbalimbali. Mfano, baadhi ya watemi walikuwa wakirudi vijana wa kiume kwenye baadhi ya rituals. Kama kumekuwa kukifanyika cannibalism na human sacrifice Afrika unadhani ingeshindikana homosexuality? Usifikiri Waafrika watakatifu - baadhi wanafanya machafu mengi ya kila aina.

Mkuu nimekuwekea red and blue hapo juu. You are logical in your arguments.Bahati mbaya kwako ni kwamba nashindwa kukubaliana na wewe kwa sababu katika muktadha wa kidini haya unayoyaandika don't hold water for me.Tumefundishwa (catholics)"usitamani mwanamke asiye mke wako" kwa hiyo kwa kutamani utakuwa umevunja amri ya Mungu (which means tayari umetenda dhambi).Sijui wewe dhehebu/dini yako inakufundishaje?
 
Mimi nadhani ni vizuri tuwe tunachangia hoja tukiwa 'open-minded'. Maana hayo uliyoandika inaonesha uko biased kwa mtu amabye hujamwelewa alitaka nini. Lakini tuchukulie kuwa hata yeye ni shoga, je kudhania hivyo kunasaidia nini? Cha msingi ninachokiona ni kwamba kwa hili la ushoga tayari ni tatizo limeshafika nyumbani (hapa Tanzania). Wiki hii nilikuwa nikisikiliza shoga moja kwenye radio (sauti ni ya kike 100% lakini yeye anadai ni mwanaume) na alikuwa akielezea jinsi alivyoanza na hata kufikia kujitangaza. Anasema anaitwa Ramadhani (kama sikosei) na sasa anajulikana kama Anti Suzi. Stori yake inasikitisha lakini sasa ndivyo hivyo. Kwa bahati mbaya zaidi anadai baba yake ni sheikh wa msikiti fulani hapa Dar es Salaam na sasa ameishasimamishwa na uongozi wa msikiti kwa sababu hiyo. Kwa hiyo, anaona uchungu kwamba maisha yake binafsi yameifanya familia iwe na sifa ya namna hiyo.

Mimi nadhani ni vizuri kama hatuna uelewa mzuri wa tatizo hili tujaribu kutafiti vizuri na tuchangie tukijua A-Z ya tatizo lenyewe kuliko kumhukumu mtu kwa vile anajaribu kuchangia tatizo analionaje yeye mwenyewe.

utafiti tuanzie kwako,haya tueleze ilikuwaje hadi ukafika ulipo ? katka utoto watu tumetenda mengi machafu pia,lakini kadri ya mtu unavyojitambua unaachana na yale ye jamii na kuzingatia yanayofaa. HOMOSEXUAL IS A CRIME AGAINST HUMANITY... huu utetezi si bure.
 
Magobe T
Anacho kitetea na kukiamini Karugendo ndicho unacho fanya na wewe
Pamoja na maelezo yako mengi ya kijanja janja labda uniweke sawa hili
Je unataka nchi hii iwatambue mashoga kwanza ili ipate kuwasikiliza na kujua namna ya kuikabili hali yao?
Je unataka jamii iwakubali na kuwaona wanafanya kitendo cha kawaida kabisa ili iwe nao karibu kujua namna ya kuwasaidia
Na la mwisho, Naona wengi wanakuita pastor, na mimi nakujua vizuri ktk jukwaa la dini kwa misimamo yako ya kutotaka Bible ipindishwe
Pia Karugendo ni ex padri, sasa kama ninyi watu wa dini mnataka eti dhambi iongeleke kwa kukubalika na jamii kwanza ili iweze kutatuliwa ndio maagizo ya Bibilia hayo. Bibilia inatamka hiyo ni laana na wewe na Mwenzako Karugendo mnasimama miongoni mwa wakristo na kusema hayo mnayo yasema bila hata ya kumuogopa Mungu wenu.
Kwa mujibu wa Bibilia dhambi yoyote ni UNDEBATABLE, hamuwezi kusimama mbele ya watu kuanza kusema eti laana hii sio siri tena na ni tatizo kwa jamii hivyo tuikubali na kuwasikiliza. ndio mafundisho ya ukristo hayo
Kama tutaanza na Mashoga kuwa hoja zao zinajadilika, zitakuja za wachawi nazo zinajadilika maana kunawengine wamelazimshwa kuwa wachawi na kuendele kujadilizingine na zingine.
Ni ajabu sana kuona watu wanaobobea kwenye dini ndio wanakuja na hoja kama hizi zinazopaswa kutolewa na wanasiasa
Kama ninyi mnakuwa ma activist wa ushoga je ile dhana ya ukristo unakubaliana na ushoga tutaikwepa vipi, haya mambo yalianza hivi hivi na ndio maana leo hii kanisa Anglikana linasimika mashoga kuwa viongozi kwasababu ya hoja kama zenu kuwa linajadilika.
Nime msoma mara nyingi sana Karugendo na mara nyingi sana amekuwa akiwatete sana mashoga wasikilizwe, na sitaki kumuhukumu karugendo na wote mlio na msimamo kama wake, lakini maranyingi sana historia inonyesha watu walio simama kuutetea sana ushoga baada ya miaka kadhaa wanakuja julikana na kujitangaza kuwa ni mashoga

kwao ushoga ni necessary evil,Hii janja ya mashoga wasomi,wako bize kusoma maandishi ili watudanganye kuwa ni watetezi wakati ni wao wenyewe wanatafuta kuungwa mkono baada ya kugundua wakijulikana jamii itawatapika.
Huyu padre Karugendo inawezekana kabisa ni SHOGA na ndiyo maana kanisa likamtapika ingawa sababu zilizotolewa si za ushoga,lakini kwa kuunganisha hizi dots,huyu jamaa ni FULLBROWN SHOGA .
 
Mimi siwezi kuingia kwenye mawazo yako na kukuzuia kufikiri kama unavyofanya. Kama inakufurahisha kufanya hivyo endelea. Kusema unavyosema hakunifanyi mimi niwe shoga, bro! Ila nasikitika kuwa tuna mawzo finyu kiasi hicho!

Hadanganywi mtu,wewe utakuwa SHOGA uliyesomea utetezi wa mashoga,yaelekea muda wako mwingi unatumia kutafuta hoja za kuuhalalisha huo UCHAFU.Kwa binadamu mwenye utambuzi wa ubinadamu wake 'Hili la USHOGA NI NGUMU SANA KUMEZA'isipokuwa kwa mashoga wenyewe,na wale mashoga'spies' wale mashoga wanaojificha kwenye u activists...Haiwezekani ukatetea ushoga kwa kuwa unawahurumia mashoga si kweli,lazima utakuwa unatetea unyanyapaa ambao unakupata kwa kuwa waliokama wewe wananyanyapaliwa.
 
Mods,naomba nitumie lugha zaidi ya hii inayoruhusiwa wakuu. Hawa jamaa (MASHOGA) ni kama mawe lugha rahisi kueleweka kwayo ni BARUTI.
 
Uko obsessed na waislamu???

Hakuna sheikh shoga wewe..akijulikana adhabu yake kunyongwa hadharani..

Sas padre mzima unatetea maovu..tutafika kwenye uadilifu kweli?
Sorry, huyu sio padre, alikuwa padre, alishaachishwa upadre. Go back 2 the main topic pls
 
Mkuu nimekuwekea red and blue hapo juu. You are logical in your arguments.Bahati mbaya kwako ni kwamba nashindwa kukubaliana na wewe kwa sababu katika muktadha wa kidini haya unayoyaandika don't hold water for me.Tumefundishwa (catholics)"usitamani mwanamke asiye mke wako" kwa hiyo kwa kutamani utakuwa umevunja amri ya Mungu (which means tayari umetenda dhambi).Sijui wewe dhehebu/dini yako inakufundishaje?

Ndugu yangu kutamani maana yake (kwa mafundisho ya dini) ni kukusudia kutenda jambo. Otherwise, wote always tungekuwa tuko kwenye dhambi na kwa jinsi hiyo hakuna ambaye angeokoka hapa duniani. Kwa hiyo, ina maana naweza kupta mawazo na mabaya na kuya'resist' - hapa haina maana nimetamani. Nikipata mawazo mabaya na kuyakubali ina maana hapa nimetenda dhambi. Sasa, kwa issue tunayoingelea ni kwamba mtu anapa feeelings mfano za kuzini na mke wa Abelo. Kupata hizi feelings ni maumbile ya kibinadamu. Ila sasa akiazi'entertain' na kutafuta nafasi ya kumpata huyo mke wa Abelo ili azini naye, hapo ndipo dhambi inapoingia. Kitu ninachochngia ni kutokana na information ambayo mimi mwnyewe nimeipata kutoka kwa wahusika wenyewe katika 'counselling' na kwenye 'counselling' mtu hafundishwi kupata jwabu la tatizo ila kushirikiana na mhusika kupata jawabu la tatizo lake. 'Homosexuals' wanasema wana 'feelings' au wanavutwa kimapenzi na watu wa jinsia yao. Katika level hii mimi nimesema hakuna dhambi (maana kama wana hizo feelings zinakuja zenyewe). Nikasema pia dhambi inakuja pale wanapoamua kutenda tendo baya (mfano kuzini). lakini kama kawaida watu humu hawasubiri waelewe wanaanza kuleta mara hili mara lile. Kitu ambacho nimejifunza ni kwamba baadhi ya wachangiaji hawajui kujadili hoja bali wanjua tu kuhukumu. Kujadili hoja maana yake unajitahidi kuwa objective ili utoe sababu zitakazomfanya mtu aamue mwenyewe na siyo kumwamulia.

Mfano, kuna vilvile moral dilemmas nyingine mbali na homosexuality kama vile masturbation, abortion, the so-called just war, mercy killing, suicide, environmental pollution, genetic engineering, human cloning, artifial fertilisation, vegitable life, stealing children, etc. Sasa katika kujadili issues kama hizi mtu anatakiwa kuwa objective na open. Otherwise, hakuna discussion bali moralising. Mleta mada alileta kama mjadala lakini baadhi yetu wamekuwa hawajadili bali kuhukumu. Hivi kweli ndivyo tunavyotakiwa kujadili hoja? According to me,dhambi haiko katika feelings bali katika actions - maana kila mtu kuanzia asubuhi mpaka jioni anakuwa na feellings nyingi. Mfano, watu wanaweza kumwua jambazi sugu. Mtu mmoja ataona huruma na kusema angetakiwa afikishwe kwenye vyombo vya sheria ili ithibitike kama kweli ameua kwa makusudi. Mtu mwingine anafurahia na kufanya sherehe kwa kuuliwa suspect. Mimi nasema ni vizuri tutafute haki ili tusimhukumu mtu kimakosa. Watu wengie hawataki haki itafutwe bali wanataka wawe wanawahukumu watu kulingana na wanavyoona wao au wanavyojisikia. Mimi ninasema hii siyo haki. Haki ni kusikiliza kila upande ili tujue tatizo liko wapi!
 
Hadanganywi mtu,wewe utakuwa SHOGA uliyesomea utetezi wa mashoga,yaelekea muda wako mwingi unatumia kutafuta hoja za kuuhalalisha huo UCHAFU.Kwa binadamu mwenye utambuzi wa ubinadamu wake 'Hili la USHOGA NI NGUMU SANA KUMEZA'isipokuwa kwa mashoga wenyewe,na wale mashoga'spies' wale mashoga wanaojificha kwenye u activists...Haiwezekani ukatetea ushoga kwa kuwa unawahurumia mashoga si kweli,lazima utakuwa unatetea unyanyapaa ambao unakupata kwa kuwa waliokama wewe wananyanyapaliwa.

Ninachoona kwako ni udhaifu wa kutoa hoja. Jenga hoja bila kukimbilia kutoa hukumu. Onesha wapi nimetetea ushoga kama siyo wenda wazimu wako. Inawezekana wewe mwenyewe ndiyo shoga!
 
Sorry, huyu sio padre, alikuwa padre, alishaachishwa upadre. Go back 2 the main topic pls
This is what I call intellectual masturbation. Hujui chochote na wala huna ushahidi wowote unajiropokea tu kama mwenda wazimu. Can you proove any of your assrtions if what you're saying is true?
 
Magobe T
Anacho kitetea na kukiamini Karugendo ndicho unacho fanya na wewe
Pamoja na maelezo yako mengi ya kijanja janja labda uniweke sawa hili
Je unataka nchi hii iwatambue mashoga kwanza ili ipate kuwasikiliza na kujua namna ya kuikabili hali yao?
Je unataka jamii iwakubali na kuwaona wanafanya kitendo cha kawaida kabisa ili iwe nao karibu kujua namna ya kuwasaidia
Na la mwisho, Naona wengi wanakuita pastor, na mimi nakujua vizuri ktk jukwaa la dini kwa misimamo yako ya kutotaka Bible ipindishwe
Pia Karugendo ni ex padri, sasa kama ninyi watu wa dini mnataka eti dhambi iongeleke kwa kukubalika na jamii kwanza ili iweze kutatuliwa ndio maagizo ya Bibilia hayo. Bibilia inatamka hiyo ni laana na wewe na Mwenzako Karugendo mnasimama miongoni mwa wakristo na kusema hayo mnayo yasema bila hata ya kumuogopa Mungu wenu.
Kwa mujibu wa Bibilia dhambi yoyote ni UNDEBATABLE, hamuwezi kusimama mbele ya watu kuanza kusema eti laana hii sio siri tena na ni tatizo kwa jamii hivyo tuikubali na kuwasikiliza. ndio mafundisho ya ukristo hayo
Kama tutaanza na Mashoga kuwa hoja zao zinajadilika, zitakuja za wachawi nazo zinajadilika maana kunawengine wamelazimshwa kuwa wachawi na kuendele kujadilizingine na zingine.
Ni ajabu sana kuona watu wanaobobea kwenye dini ndio wanakuja na hoja kama hizi zinazopaswa kutolewa na wanasiasa
Kama ninyi mnakuwa ma activist wa ushoga je ile dhana ya ukristo unakubaliana na ushoga tutaikwepa vipi, haya mambo yalianza hivi hivi na ndio maana leo hii kanisa Anglikana linasimika mashoga kuwa viongozi kwasababu ya hoja kama zenu kuwa linajadilika.
Nime msoma mara nyingi sana Karugendo na mara nyingi sana amekuwa akiwatete sana mashoga wasikilizwe, na sitaki kumuhukumu karugendo na wote mlio na msimamo kama wake, lakini maranyingi sana historia inonyesha watu walio simama kuutetea sana ushoga baada ya miaka kadhaa wanakuja julikana na kujitangaza kuwa ni mashoga

Be critical, please!

1. Tatatizo la ushoga ni kubwa Tanzania ingawa tendency ni kulificha na kulizima lisijadiliwe kwa kila hila.
2. Huko maofisini ukisikia habari za ushoga unaofanyika hata ndani ya ndoa za watu utashangaa.
3. Tuendelee kulificha hili tatizo kwa maana kila atayefungua mdomo wake kulisemea ili tujue marefu na mapana yake anazibwa mdomo.
4. Asante kwa kuelewa mawazo yenu - ila tuna kazi ngumu na kubwa kama tutaendelea kujadili vitu vigumu kwa mtindo huu.
5. Hisia zikitawala akili hakuna jambo lolote linaloweza kupatiwa ufumbuzi.
6. Kwa upande wangu, naona niishie hapa!
 
Mkuu u asked me to be critical while u failed to answer any of my question
Anyway, wewe na Karugendo sio
wakwanza kuutetea ushoga kwa style mnayokuja nayo ya kutaka ujadilike(Anglikana waliujadili na leo wana maaskofu mashoga)
Hakuna anaye lificha hili tatizo kama mnavyodai, linazidi kukuka kwasababu kuna watu wenye akili kama zenu mnaonekana kulikubali katika jamii na jamii inazidi react katika kulipinga.
Na kwenu ninyi mashabiki wa ushoga, kuupinga ushoga ni kuwanyanyapaa mashoga
Nimekuuliza maswala ya msingi umeyakimbia na sasa unaanza blah blah zingine, jibu kwanza hoja vinginevyo utafanya watu waamini unatetea kwa maslahi yako.
Ushoga ni kosa kama yalivyo mengine Mbele ya Mungu na jamii na kwa nini basi mkazanie wasikilizwe mashoga tu na sio makosa mengine?
Jiangalie bro kama huna hizo tabia basi ushoga hauta tatuliwa kwa kuwa entertain mashoga, bali kuupinga kwa nguvu zote kuanzia viongozi wa dini hadi serikalini
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom