Padri karugendo ni huruma kwa mashoga au ni shoga anatafuta jukwaa huru

Nkwesa Makambo

Nkwesa Makambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Messages
4,765
Likes
33
Points
0
Nkwesa Makambo

Nkwesa Makambo

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2011
4,765 33 0
Kona ya Karugendo kwenye Gazeti la Raia Mwema 'Tujadili suala la Ushoga,linajadilika'

Nimesoma makala ya Padri wa zamani Privatus Karugendo yenye kichwa cha habari tajwa hapo juu,nimesoma kwa kuirejea mara mbili huku nikijaribu kuhusianisha kichwa cha habari na makala hausika,Kwa kusema kweli nimeshindwa kuelewa si tu huyu Padri wa zamani nini alikusudia katika makala hii.
Ametoa maelezo mazuri juu ya tamasha ya Jinsia lililofanyika mwezi uliopita na uhusiano uliokuwepo kati ya tamasha na mashoga na madhumuni halisi ya tamasha husika,katika maelezo yake amaejitahidi sana kuhusisha mmomonyoko wa maadili katika jamii yetu na jinsi jamii ilivypotoka katika huo mmomonyoko wa maadili,juhudi zake zote za kueleza juu ya mmomonyoko wa maadili zilijikita katika kueleza matokeo yake akihusianisha na mambo mengi machafu katika jamii huku ushoga ukiwekwa mbali bali akielezea juu juu kwamba ni matokeo ya uharibifu wa maadili.
kilichonistua sana ni Mtizamo wake mbaya dhidi ya waandishi wa habari ambao mwenyewe amewaita 'waandishi wa habari wenye mtizamo finyu na wenye malengo yao binafsi waliyaacha mengine yote na kuliwekea mkazo hili la ushoga' kwake yeye mwandishi wa habari asiyekubaliana na ushoga au watu wasiokubaliana na ushoga ni wale wenye nia ya kubinafsisha katiba.
Pamoja na kujieleza kidogo kwamba 'nia si kuunga mkono ushoga;bali uelewa wa kulishughulikia jambo lililopo (ushoga ni ukweli ulio katika jamii yetu,tunataka tusitake)'

Baada ya kupitia makala yake nimeshindwa kuelewa huyu x-padre ni SHOGA ANAYETAFUTA UHURU WA USHOGA WAKE au ni binadamu mwenye huruma kwa mashoga, naomba wanaJF hasa waliopitia makala yake wale wenye nia ya kulinda uhuru na haki za binadamu tujadili hoja zake ili tuweze kumtambua,sina uhakika sana na nini kilicholichefua kanisa katoliki kufikia kumtema padri huyu,Je ushoga waweza kuwa sehemu ya uovu wake kwenye kanisa uliosababisha atemwe?

Nawakilisha...
 
H1N1

H1N1

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
4,210
Likes
587
Points
280
H1N1

H1N1

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
4,210 587 280

kwa kweli hata mimi ni mmoja wa wale wasiomwelewa padri karugendo,napenda kusoma makala zake kwenye gazeti la raia mwema na tanzania daima,kuna makala zingine zinakuwa nzuri na zenye maonyo na mafundisho.
Lakini katika makala zote zinazohusu ushoga msisitizo huwa si kukemea bali kutafuta namna ya kuwasikiliza mashoga sauti zao, INAWEZEKANA kabisa na yeye ni mmoja wa hao mashoga,hajawahi kujikiita kukemea,juhudi kubwa huiweka kuiaminisha jamii kuwa ushoga ni mfumo ambao jamii haiwezi kuishi bila kuwa nao,anaona ni bora jamii iukubali 'mfumo'huyo.
 
Raia Fulani

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Messages
10,217
Likes
110
Points
145
Raia Fulani

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2009
10,217 110 145
hata mi huyu mzee alishanishitua mwaka jana. Ilikuwa ni katika maadhumisho kama haya na yeye akatoa makala (kwenye raia mwema bila shaka) ya kuwatetea mashoga. Nami sikumuelewa ikabidi nimpigie simu. Kiukweli nilishangaa na kusikitika. Aliniambia kuwa ni wimbi lisiloepukika hivyo tujifunze kulipokea na kuli adopt. Huo ndio mtizamo wake
 
Invarbrass

Invarbrass

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
505
Likes
3
Points
35
Invarbrass

Invarbrass

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
505 3 35
Alichomaanisha ni kuwataka watu waaache unafiki kwa kujifanya ushoga haupo. hii inafanya tatizo hili lisijadiliwe na kuona jinsi ya kukabiliana nalo. manake kama in dhambi mbona dhambi nyingine zinajadiliwa. nadhani hakutetea ushoga ila unyanyapaa.
 
ndyoko

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
4,982
Likes
316
Points
180
ndyoko

ndyoko

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
4,982 316 180
mhhhhhhhhhh!
 
ndyoko

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
4,982
Likes
316
Points
180
ndyoko

ndyoko

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
4,982 316 180
Kona ya Karugendo kwenye Gazeti la Raia Mwema 'Tujadili suala la Ushoga,linajadilika'

Nimesoma makala ya Padri wa zamani Privatus Karugendo yenye kichwa cha habari tajwa hapo juu,nimesoma kwa kuirejea mara mbili huku nikijaribu kuhusianisha kichwa cha habari na makala hausika,Kwa kusema kweli nimeshindwa kuelewa si tu huyu Padri wa zamani nini alikusudia katika makala hii.
Ametoa maelezo mazuri juu ya tamasha ya Jinsia lililofanyika mwezi uliopita na uhusiano uliokuwepo kati ya tamasha na mashoga na madhumuni halisi ya tamasha husika,katika maelezo yake amaejitahidi sana kuhusisha mmomonyoko wa maadili katika jamii yetu na jinsi jamii ilivypotoka katika huo mmomonyoko wa maadili,juhudi zake zote za kueleza juu ya mmomonyoko wa maadili zilijikita katika kueleza matokeo yake akihusianisha na mambo mengi machafu katika jamii huku ushoga ukiwekwa mbali bali akielezea juu juu kwamba ni matokeo ya uharibifu wa maadili.
kilichonistua sana ni Mtizamo wake mbaya dhidi ya waandishi wa habari ambao mwenyewe amewaita 'waandishi wa habari wenye mtizamo finyu na wenye malengo yao binafsi waliyaacha mengine yote na kuliwekea mkazo hili la ushoga' kwake yeye mwandishi wa habari asiyekubaliana na ushoga au watu wasiokubaliana na ushoga ni wale wenye nia ya kubinafsisha katiba.
Pamoja na kujieleza kidogo kwamba 'nia si kuunga mkono ushoga;bali uelewa wa kulishughulikia jambo lililopo (ushoga ni ukweli ulio katika jamii yetu,tunataka tusitake)'

Baada ya kupitia makala yake nimeshindwa kuelewa huyu x-padre ni SHOGA ANAYETAFUTA UHURU WA USHOGA WAKE au ni binadamu mwenye huruma kwa mashoga, naomba wanaJF hasa waliopitia makala yake wale wenye nia ya kulinda uhuru na haki za binadamu tujadili hoja zake ili tuweze kumtambua,sina uhakika sana na nini kilicholichefua kanisa katoliki kufikia kumtema padri huyu,Je ushoga waweza kuwa sehemu ya uovu wake kwenye kanisa uliosababisha atemwe?

Nawakilisha...
Mjani huo mkuu!
 
Mwakalinga Y. R

Mwakalinga Y. R

Tanzanite Member
Joined
Oct 22, 2008
Messages
2,720
Likes
57
Points
145
Mwakalinga Y. R

Mwakalinga Y. R

Tanzanite Member
Joined Oct 22, 2008
2,720 57 145
Niefuatilia alichoandika nimeshindwa kuelewa.Wakati tupo sekondari miaka ya 1990 kuna habari zilikuwa zinavuja kuwa kwenye Seminary husani za Kikatoliki kulikuwa na vijana-mashogo.Kurihirisha uvumi huo akachaguliwa kijana mmoja kutoka Seminary (.) akajiunga form five na vijana walikuwa wanamchangamkia kisawasawa.Sasa nikioanisha na makala ya huyu Padre wa zamani napata wasiwasi kidogo.
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,569
Likes
38,974
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,569 38,974 280
Taifa linahitaji kufunga na kuomba ili kuukemea na kuitokomeza kabisa hii tabia chafu ambayo inashamiri kila kunapokucha.
 
M

Magobe T

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2008
Messages
3,083
Likes
425
Points
180
M

Magobe T

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2008
3,083 425 180
Kona ya Karugendo kwenye Gazeti la Raia Mwema 'Tujadili suala la Ushoga,linajadilika'

Nimesoma makala ya Padri wa zamani Privatus Karugendo yenye kichwa cha habari tajwa hapo juu,nimesoma kwa kuirejea mara mbili huku nikijaribu kuhusianisha kichwa cha habari na makala hausika,Kwa kusema kweli nimeshindwa kuelewa si tu huyu Padri wa zamani nini alikusudia katika makala hii.
Ametoa maelezo mazuri juu ya tamasha ya Jinsia lililofanyika mwezi uliopita na uhusiano uliokuwepo kati ya tamasha na mashoga na madhumuni halisi ya tamasha husika,katika maelezo yake amaejitahidi sana kuhusisha mmomonyoko wa maadili katika jamii yetu na jinsi jamii ilivypotoka katika huo mmomonyoko wa maadili,juhudi zake zote za kueleza juu ya mmomonyoko wa maadili zilijikita katika kueleza matokeo yake akihusianisha na mambo mengi machafu katika jamii huku ushoga ukiwekwa mbali bali akielezea juu juu kwamba ni matokeo ya uharibifu wa maadili.
kilichonistua sana ni Mtizamo wake mbaya dhidi ya waandishi wa habari ambao mwenyewe amewaita 'waandishi wa habari wenye mtizamo finyu na wenye malengo yao binafsi waliyaacha mengine yote na kuliwekea mkazo hili la ushoga' kwake yeye mwandishi wa habari asiyekubaliana na ushoga au watu wasiokubaliana na ushoga ni wale wenye nia ya kubinafsisha katiba.
Pamoja na kujieleza kidogo kwamba 'nia si kuunga mkono ushoga;bali uelewa wa kulishughulikia jambo lililopo (ushoga ni ukweli ulio katika jamii yetu,tunataka tusitake)'

Baada ya kupitia makala yake nimeshindwa kuelewa huyu x-padre ni SHOGA ANAYETAFUTA UHURU WA USHOGA WAKE au ni binadamu mwenye huruma kwa mashoga, naomba wanaJF hasa waliopitia makala yake wale wenye nia ya kulinda uhuru na haki za binadamu tujadili hoja zake ili tuweze kumtambua,sina uhakika sana na nini kilicholichefua kanisa katoliki kufikia kumtema padri huyu,Je ushoga waweza kuwa sehemu ya uovu wake kwenye kanisa uliosababisha atemwe?

Nawakilisha...
1. Kabla sijachangia kuhusu issue ya ushoga nianze kwa kusema kuwa: kuna watu wanadhani ukiwa wakili na ukimwakilisha mtuhumiwa wa ufisadi mahakamani au mtu anayetuhumiwa kuua basi wewe pia unapenda wizi au watu wauawe. Kwa watu kama hawa huwa nasema hivi: Je, leo hii ikitokea mtu ameuawa karibu na unapoishi wewe na ikatokea ukatajwa kuwa mmoja wa 'murder suspects', ungetaka uwe na wakili ukipelekwa mahakamani au hapana?

2. Sasa kuhusu la ushoga. Mimi naliona hivi: ushoga ni hali ya mtu kuwa na mvuto wa kimapenzi kwa watu wa jinsia yako (gay [me], lesbian [ke]) - 'homosexual'. Kuwa na mvuto kwa jinsia tofauti ni 'heteresexual'. Sasa mtu hawi 'saint' kwa kuwa 'heterosexual' na wala hawi 'sinner' kwa kuwa 'homosexual' kwa vile kuwa 'heterosexual' au 'homosexual' ni 'sexual orientation'. 'Heterosexual' anatenda dhambi anapokwenda kinyume na maadili. 'Feelings are neither good nor bad. They simply are'. What you are doing with those feelings is what can be good or bad.

3. Jiulize hivi: ikitokea una watoto wanne na wawili wao ni homosexual, utafanyaje? Will you talk about them and still call them your children or you will keep quiet about it and call them your children? Anachosema Karugendo ni kwamba ushoga siyo tena kitu cha kusikia kwa mbali. Tayari baadhi ya ndugu zetu na marafiki zetu ni mashoga. Sasa tufanyeje: tujifanye hao ndugu na marafiki si mashoga au tukubali ni mashoga na tutafute njia ya kuishi nao kama mashoga ili kama kuna wale wanaoweza kuacha waache na wale ambao ni asili yao basi tuwakubali kama walivyo? Kumkubali shoga kama alivyo haina maana ya kusema tunahalalisha wanachokifanya bali kuona kama kuna watu wa namna hiyo na haiwezekani kuwabadilisha hatuna cha kufanya. Itatuuma; tutajisikia vibaya lakini mwisho wa siku hawa watu wako vile. Tufanye nini?

4. Kwa hiyo, Karugendo anatupa changamoto ili tusiwe tu watu wa kuwahukumu wengine bali tujaribu kuelewa mazingira hawa watu waliyomo. Kama haujaishi na watu kama hawa utakuwa judgemental lakini ukiweza kuwasikiliza na kujifunza wanachokiishi utaona unaanza kubadilika. Hizi ndizo changamoto zetu za maisha. Niliwahi kufanya counselling kwa inmates wa gereza la Pentonville, Uingereza, na baadhi ya wateja walikuwa mashoga. Kuna mmoja alisema: "amekuwa akilawitiwa kwa nguvu tangu utotoni hadi alipoanza kujiona kuwa na yeye amekuwa na mwelekeo huo." Wengine wanaanza kama kujaribu na baadaye wanakuwa 'addicted' kwa hali hiyo kama walivyo mateja. Wengine wanadai hawakujua ni mashoga mwanzoni walianza kujua walipojiona wanaanza kutengwa na jamii na ndipo walipoanza kujitambua kama wao ni tofauti na wengine. This is a complex issue; it's a moral dilemma!
 
M

Magobe T

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2008
Messages
3,083
Likes
425
Points
180
M

Magobe T

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2008
3,083 425 180
Niefuatilia alichoandika nimeshindwa kuelewa.Wakati tupo sekondari miaka ya 1990 kuna habari zilikuwa zinavuja kuwa kwenye Seminary husani za Kikatoliki kulikuwa na vijana-mashogo.Kurihirisha uvumi huo akachaguliwa kijana mmoja kutoka Seminary (.) akajiunga form five na vijana walikuwa wanamchangamkia kisawasawa.Sasa nikioanisha na makala ya huyu Padre wa zamani napata wasiwasi kidogo.
Kudhani hivi ni off point! Mashoga wapo hata masheikh, mapastor na hata wasio na dini. Kulsukumia ushoga tu kwa Kanisa Katoliki nadhani inaonesha tu kuwa una obsession. Kwa mtu ambaye hajatembea ndiyo atadhani ushoga uko tu kwenye seminari za Kikatoliki. Nenda Southa Afrika au tu Ulaya, ambako imani ya dini imepungua kwa kiasi kikubwa - mtu anazaliwa hadi kufa na hajui kama kuna Mungu au la na uone idadi ya mashoga jinsi ilivyo kubwa. Hivyo, naona tu ni kukosa exposure ndio utadhani ni tatizo la kundi fulani la watu. Lakini hata hapa Dar es Salaam - tembelea sehemu ambako wana taarab siku hiyo utakutana nao kwa wingi na utakuta hawakusoma seminari hata kidogo!
 
U

utantambua

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Messages
1,373
Likes
9
Points
0
U

utantambua

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2011
1,373 9 0
Niefuatilia alichoandika nimeshindwa kuelewa.Wakati tupo sekondari miaka ya 1990 kuna habari zilikuwa zinavuja kuwa kwenye Seminary husani za Kikatoliki kulikuwa na vijana-mashogo.Kurihirisha uvumi huo akachaguliwa kijana mmoja kutoka Seminary (.) akajiunga form five na vijana walikuwa wanamchangamkia kisawasawa.Sasa nikioanisha na makala ya huyu Padre wa zamani napata wasiwasi kidogo.
Kwa hiyo unamaanisha waliosoma seminari ni mashoga?
 
M

MWENDAKULIMA

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2009
Messages
961
Likes
25
Points
35
M

MWENDAKULIMA

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2009
961 25 35
2. Sasa kuhusu la ushoga. Mimi naliona hivi: ushoga ni hali ya mtu kuwa na mvuto wa kimapenzi kwa watu wa jinsia yako (gay [me], lesbian [ke]) - 'homosexual'. Kuwa na mvuto kwa jinsia tofauti ni 'heteresexual'. Sasa mtu hawi 'saint' kwa kuwa 'heterosexual' na wala hawi 'sinner' kwa kuwa 'homosexual' kwa vile kuwa 'heterosexual' au 'homosexual' ni 'sexual orientation'. 'Heterosexual' anatenda dhambi anapokwenda kinyume na maadili. 'Feelings are neither good nor bad. They simply are'. What you are doing with those feelings is what can be good or badMagobe,Soon tutaanza kwa na gays/lesbian rights activists humu JF.Mungu apishe mbali! Check kwenye red hapo Mkuu. Being/considering oneself to be the righteous has to do with the afterlife belief.Do atheist believe in afterlife?What religion on earth recognize homosexuals as the righteous? tuige vyote kutoka kwa wazungu but this one NOPE,umepotoka mkuu.Homosexuality is unAfrican,ungodly,unreligious,immoral and uncalled-for by any standards.
 
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Likes
141
Points
160
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 141 160
Hapa Kariakoo Ma-anti Mudy wapo kibao.
 
T

Topical

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2010
Messages
5,175
Likes
11
Points
0
T

Topical

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2010
5,175 11 0
1. Kabla sijachangia kuhusu issue ya ushoga nianze kwa kusema kuwa: kuna watu wanadhani ukiwa wakili na ukimwakilisha mtuhumiwa wa ufisadi mahakamani au mtu anayetuhumiwa kuua basi wewe pia unapenda wizi au watu wauawe. Kwa watu kama hawa huwa nasema hivi: Je, leo hii ikitokea mtu ameuawa karibu na unapoishi wewe na ikatokea ukatajwa kuwa mmoja wa 'murder suspects', ungetaka uwe na wakili ukipelekwa mahakamani au hapana?

2. Sasa kuhusu la ushoga. Mimi naliona hivi: ushoga ni hali ya mtu kuwa na mvuto wa kimapenzi kwa watu wa jinsia yako (gay [me], lesbian [ke]) - 'homosexual'. Kuwa na mvuto kwa jinsia tofauti ni 'heteresexual'. Sasa mtu hawi 'saint' kwa kuwa 'heterosexual' na wala hawi 'sinner' kwa kuwa 'homosexual' kwa vile kuwa 'heterosexual' au 'homosexual' ni 'sexual orientation'. 'Heterosexual' anatenda dhambi anapokwenda kinyume na maadili. 'Feelings are neither good nor bad. They simply are'. What you are doing with those feelings is what can be good or bad.

3. Jiulize hivi: ikitokea una watoto wanne na wawili wao ni homosexual, utafanyaje? Will you talk about them and still call them your children or you will keep quiet about it and call them your children? Anachosema Karugendo ni kwamba ushoga siyo tena kitu cha kusikia kwa mbali. Tayari baadhi ya ndugu zetu na marafiki zetu ni mashoga. Sasa tufanyeje: tujifanye hao ndugu na marafiki si mashoga au tukubali ni mashoga na tutafute njia ya kuishi nao kama mashoga ili kama kuna wale wanaoweza kuacha waache na wale ambao ni asili yao basi tuwakubali kama walivyo? Kumkubali shoga kama alivyo haina maana ya kusema tunahalalisha wanachokifanya bali kuona kama kuna watu wa namna hiyo na haiwezekani kuwabadilisha hatuna cha kufanya. Itatuuma; tutajisikia vibaya lakini mwisho wa siku hawa watu wako vile. Tufanye nini?

4. Kwa hiyo, Karugendo anatupa changamoto ili tusiwe tu watu wa kuwahukumu wengine bali tujaribu kuelewa mazingira hawa watu waliyomo. Kama haujaishi na watu kama hawa utakuwa judgemental lakini ukiweza kuwasikiliza na kujifunza wanachokiishi utaona unaanza kubadilika. Hizi ndizo changamoto zetu za maisha. Niliwahi kufanya counselling kwa inmates wa gereza la Pentonville, Uingereza, na baadhi ya wateja walikuwa mashoga. Kuna mmoja alisema: "amekuwa akilawitiwa kwa nguvu tangu utotoni hadi alipoanza kujiona kuwa na yeye amekuwa na mwelekeo huo." Wengine wanaanza kama kujaribu na baadaye wanakuwa 'addicted' kwa hali hiyo kama walivyo mateja. Wengine wanadai hawakujua ni mashoga mwanzoni walianza kujua walipojiona wanaanza kutengwa na jamii na ndipo walipoanza kujitambua kama wao ni tofauti na wengine. This is a complex issue; it's a moral dilemma!
Wewe mwenyewe ndio padre karugendo nini?

Au na wewe ni shoga....hakuna kitu kama kuzaliwa homosexual ni tabia mbaya tu period..

Na inatakiwa kusiwe na huruma hata kidogo kwa upuuzi huu..unahurumia watu ambao mungu amewalaani?
 
T

Topical

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2010
Messages
5,175
Likes
11
Points
0
T

Topical

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2010
5,175 11 0
Kudhani hivi ni off point! Mashoga wapo hata masheikh, mapastor na hata wasio na dini. Kulsukumia ushoga tu kwa Kanisa Katoliki nadhani inaonesha tu kuwa una obsession. Kwa mtu ambaye hajatembea ndiyo atadhani ushoga uko tu kwenye seminari za Kikatoliki. Nenda Southa Afrika au tu Ulaya, ambako imani ya dini imepungua kwa kiasi kikubwa - mtu anazaliwa hadi kufa na hajui kama kuna Mungu au la na uone idadi ya mashoga jinsi ilivyo kubwa. Hivyo, naona tu ni kukosa exposure ndio utadhani ni tatizo la kundi fulani la watu. Lakini hata hapa Dar es Salaam - tembelea sehemu ambako wana taarab siku hiyo utakutana nao kwa wingi na utakuta hawakusoma seminari hata kidogo!
Uko obsessed na waislamu???

Hakuna sheikh shoga wewe..akijulikana adhabu yake kunyongwa hadharani..

Sas padre mzima unatetea maovu..tutafika kwenye uadilifu kweli?
 
Mwakalinga Y. R

Mwakalinga Y. R

Tanzanite Member
Joined
Oct 22, 2008
Messages
2,720
Likes
57
Points
145
Mwakalinga Y. R

Mwakalinga Y. R

Tanzanite Member
Joined Oct 22, 2008
2,720 57 145
Soma nilichoandika na ukielewe kwanza.Usijibu hoja kwa kuweka mbele hisia bila kujua hoja ya msingi.
Haya wewe na exposure yako ya huko Bongo uliko.Nisikushambulie sana kwa kuwa hukuelewa nilichoandika.
Kudhani hivi ni off point! Mashoga wapo hata masheikh, mapastor na hata wasio na dini. Kulsukumia ushoga tu kwa Kanisa Katoliki nadhani inaonesha tu kuwa una obsession. Kwa mtu ambaye hajatembea ndiyo atadhani ushoga uko tu kwenye seminari za Kikatoliki. Nenda Southa Afrika au tu Ulaya, ambako imani ya dini imepungua kwa kiasi kikubwa - mtu anazaliwa hadi kufa na hajui kama kuna Mungu au la na uone idadi ya mashoga jinsi ilivyo kubwa. Hivyo, naona tu ni kukosa exposure ndio utadhani ni tatizo la kundi fulani la watu. Lakini hata hapa Dar es Salaam - tembelea sehemu ambako wana taarab siku hiyo utakutana nao kwa wingi na utakuta hawakusoma seminari hata kidogo!
 
LebronWade

LebronWade

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
1,618
Likes
1,053
Points
280
LebronWade

LebronWade

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
1,618 1,053 280
these are fags!!
 
Mwakalinga Y. R

Mwakalinga Y. R

Tanzanite Member
Joined
Oct 22, 2008
Messages
2,720
Likes
57
Points
145
Mwakalinga Y. R

Mwakalinga Y. R

Tanzanite Member
Joined Oct 22, 2008
2,720 57 145
Sijamaanisha hivyo kwa kuwa hakuna utafiti niliofanya.Utafiti mdogo niliofanya na kuuweka bayani ni uvumi kama nilivyoainisha.
But sio conclusion kuwa vijana wa seminary za kikatoliki ni mashoga.Kuna uvumi mwingine kuwa vijana wa kiume hususani wa pwani wanaoimba taarabu wengi wao ni mashoga,ila hilo siwezi kulizungumzia kwa kuwa sikulifanyia utafiti.
Kwa hiyo unamaanisha waliosoma seminari ni mashoga?
 
M

Magobe T

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2008
Messages
3,083
Likes
425
Points
180
M

Magobe T

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2008
3,083 425 180
2. Sasa kuhusu la ushoga. Mimi naliona hivi: ushoga ni hali ya mtu kuwa na mvuto wa kimapenzi kwa watu wa jinsia yako (gay [me], lesbian [ke]) - 'homosexual'. Kuwa na mvuto kwa jinsia tofauti ni 'heteresexual'. Sasa mtu hawi 'saint' kwa kuwa 'heterosexual' na wala hawi 'sinner' kwa kuwa 'homosexual' kwa vile kuwa 'heterosexual' au 'homosexual' ni 'sexual orientation'. 'Heterosexual' anatenda dhambi anapokwenda kinyume na maadili. 'Feelings are neither good nor bad. They simply are'. What you are doing with those feelings is what can be good or badMagobe,Soon tutaanza kwa na gays/lesbian rights activists humu JF.Mungu apishe mbali! Check kwenye red hapo Mkuu. Being/considering oneself to be the righteous has to do with the afterlife belief.Do atheist believe in afterlife?What religion on earth recognize homosexuals as the righteous? tuige vyote kutoka kwa wazungu but this one NOPE,umepotoka mkuu.Homosexuality is unAfrican,ungodly,unreligious,immoral and uncalled-for by any standards.
Nadhani hatujaelewana tu lugha ninachokisema. Nasema hivi hisia hazimfanyi mtu kuwa mdhambi. Kinachomfanya mtu kuwa mdhambi ni tendo baya analoamua mtu kutenda. Mfano, mtu hatendi dhambi ya mauaji kwa kuwa tu na mawazo ya kumwua mtu fulani; mtu huyo atatenda dhambi atakapoamua kumwua mtu anayemfikiria. Mtu hatendi dhambi ya uzinifu (heterosexual) kwa kuwa na mawazo ya kuzini na mke wa mtu (maana mawazo au hisia zinakuja na kutoka); mtu huyo atatenda dhambi atakapoamua kufanya hivyo moyoni mwake na kwa vitendo vyake. Mtu hatendi dhambi kwa kuvutiwa kimapenzi (heterosexual) na mke wa mtu - atatenda dhambi akiamua kufanya mapenzi na mke wa mtu. Tuje sasa kwa homosexuals: homosexual pia hatendi dhambi kwa kuvutiwa na watu wa jinsia yake bali atatenda dhambi kama atatenda tendo lolote (la kimapenzi) lisilo la kiadilifu. Siyo homesexuals wote wanafanya mapenzi. Walau kwa baadhi ya wale niliosoma na kufanya kazi nao walikuwa wakisema hivyo, ingawa baadhi yao walikuwa pia wanasema wanafanya.

Hivyo, hatuwezi kuwaweka kapu moja na kuwahukumu kwa dhambi ambayo hata hawajafanya. Chukulia mtu ambaye ni 'addicted' kwa kitu fulani - ingawa angetaka kuacha lakini hana control tena. Sitaki kusema homosexuals wote ni 'addicted' ila kuna baadhi walianza kwa kujaribu na hatimaye wamejikuta wamekuwa 'addicted' na wanaona shida kuacha. Hawa wanahitaji msaada. Lakini kwa mawazo tuliyonayo kuhusu hawa watu sidhani kama wanaweza pia kupata msaada wowote hata katika michango yetu ya humu maana baadhi ya wachangiaji hawasubiri wamwelewe mtu wanakimbilia kwenye judgement hata kabla ya kuelewa jambo lenyewe likoje. Wanaona wakisubiri waelewe watachelewa kuchangia. Sisi wengine tuna'exposure' kwa haya mambo kwa miaka mingi tu. Siyo exposure kwa maana ya kushiriki bali kwa maana ya kusoma na kufanya kazi na watu wa namna hiyo na jinsi baadhi yao wanavyohangaika wawe kama wengine ila wanajiona wanahukumiwa na jamii hata kwa mambo ambayo wao hawatendi.

Kusema homosexuality imeanzia kwa wazungu ni kukwepa hoja. Ukisoma 'cultural anthrolopolgy' utakuta kwamba hata Waafrika wamekuwa waki'practise' homosexuality kwa njia mbalimbali. Mfano, baadhi ya watemi walikuwa wakirudi vijana wa kiume kwenye baadhi ya rituals. Kama kumekuwa kukifanyika cannibalism na human sacrifice Afrika unadhani ingeshindikana homosexuality? Usifikiri Waafrika watakatifu - baadhi wanafanya machafu mengi ya kila aina.
 
M

Magobe T

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2008
Messages
3,083
Likes
425
Points
180
M

Magobe T

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2008
3,083 425 180
QUOTE=Topical;2604466]Uko obsessed na waislamu???

Hakuna sheikh shoga wewe..akijulikana adhabu yake kunyongwa hadharani..

Sas padre mzima unatetea maovu..tutafika kwenye uadilifu kweli?[/QUOTE]

My God! Mbona hunielewi? Niliandika hivi: " Kudhani hivi ni off point! Mashoga wapo hata masheikh, mapastor na hata wasio na dini. Kulsukumia ushoga tu kwa Kanisa Katoliki nadhani inaonesha tu kuwa una obsession. Kwa mtu ambaye hajatembea ndiyo atadhani ushoga uko tu kwenye seminari za Kikatoliki. Nenda Southa Afrika au tu Ulaya, ambako imani ya dini imepungua kwa kiasi kikubwa - mtu anazaliwa hadi kufa na hajui kama kuna Mungu au la na uone idadi ya mashoga jinsi ilivyo kubwa. Hivyo, naona tu ni kukosa exposure ndio utadhani ni tatizo la kundi fulani la watu. Lakini hata hapa Dar es Salaam - tembelea sehemu ambako wana taarab siku hiyo utakutana nao kwa wingi na utakuta hawakusoma seminari hata kidogo!"

Kwa nini umechagua tu masheikh na kuniambia niko obsessed na Waislamu? Mtu yeyote anaweza kuwa shoga awe padre, papa, askofu, kardinali, sheikh, rais, mbunge, waziri, budha, traditional believer, atheist, spiritualist, etc. Title ya mtu siyo immunity kwa mtu kuwa attracted kwa watu wa jinsia yake. Najua wewe ni mmoja wa wale wasiosuribiri kuelewa hoja maana wanadhani watachelewa kuchangia hoja na hivyo wanakimbilia kutoa hukumu ili baadaye ndiyo waje waelewe. Pole sana ndugu yangu - ila sijatetea uovu sehemu yoyote ile. Najaribu tu kuchagia jinsi gani ninavyoelewa kuhusu ushoga kama na wewe unavyofanya.
 
Forum statistics

Threads 1,250,240
Members 481,278
Posts 29,725,523