TANZIA Padri Constantine Santo Waporukwa Mlezi wa Star High School(Arusha) Afariki Dunia Kwa changamoto ya upumuaji

Torch

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
1,200
1,116
Chanzo changamoto ya upumuaji.
R.I.P kwa jumuiya ya shirika la Mitume wa YESU.. Na shule ya sekondari Star High School

IMG_20210210_185249.jpg
 
Kafa tarehe 9 January, ila katangazwa tarehe 10 February.

Kwanini ametangazwa mwezi mmoja baada ya kifo?
 
Bado kuna mtumishi 'fake' anahubiri tusifuate ushauri wa kukaa mbali-mbali hasa ktika mikusanyiko, he's mad !

Sijui kwa nini hii 'niumonia' haitembelei chamwino kwa hao wapiga tantalila!
Huyo mhuni tu,anajua atakosa sadaka kwake

Ova
 
Kafa tarehe 9 January, ila katangazwa tarehe 10 February.

Kwanini ametangazwa mwezi mmoja baada ya kifo?
Nadhani ni typing error hapo juu. Ukisoma tangazo kwa ndani kafariki February 9.

RIP padre. Ni kipindi ambacho tunatakiwa kuchukuwa tahadhari sana waungwana. Sana tena.
 
Nadhani ni typing error hapo juu. Ukisoma tangazo kwa ndani kafariki February 9.......

RIP padre. Ni kipindi ambacho tunatakiwa kuchukuwa tahadhari sana waungwana. Sana tena.

Tangazo linasema January 9.

Anyway, poleni
 
Back
Top Bottom