Padri anasema CCM majambazi tujipushe nao

Status
Not open for further replies.
Mie bado nafata maono wa Maaskof kuwa Jakaya ni chaguo la Mwenyezimungu na chaguo la mungu anasema Tuchague CCM! Usipuuze Maono ya Baba Askof Methodius Kilain ukafata wa Padri!
 
Huyo siyo padri ni mchungaji munisi..kuna tofauti kati ya mchungaji na padri.. Usiandike usilolijua!
 
Munishi sio Padri ni mchungaji au kwa Kiingereza Pastor.

Mapadri ni wa Kanisa Katoliki na Anglican (High Church). Wakristo wengine nje ya hao wana wachungaji si mapadri.

attachment.php
 
Hakuna padri anaeongea togwa kama hivi..huyu ni msanii wa nyimbo za Injili kwa staili anayo ijua yeye, Kama amejipa uchungaji tusubiri ajiite nabii!
 
Huyu Munisi why anaishi kenya?maana hizi kauli zake anazitoa akiwa kenya pia utaona video zake youtube anafanya matangazo ya Safaricom
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom