Padri aingilia ndoa ya Stamina, awaita kanisani na mkewe

Ndoa za siku hizi bwana!
Kuna staff mwenzangu wamefunga ndoa 30/7/2017 ila hivi ninavyo andika hii comment wameshatengana na wako kwenye kesi ya kugawana mali!

Ndoa ni uvumilivu, nachokiona watu wanaoana ili watumiane, wasichana wengi wanazani kuwa wazuri wa sura na maumbo wakiolewa waogopwe wafanye wanayoyataka, wanaume nao uwajibikaji katika familia unapungua sana.
Wanandoa wanaendeleza michepuko yao, wakigombana wanashindana kuongea unakuta mwanamke anapiga domo na matusi ya dharau kwa mumewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom