Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,160
- 10,007
Sahihi,kuna nchi kibao hazina CardinalsKuongezea hapo, ni kwamba si lazima awe Kardinali, na wala si lazima Tanzania au kila nchi iwe na Kardinali, na si lazima nchi moja itoe Kardinali mmoja tu
Watu hawajui kuwa from Administration Point of View, Roman Catholic wana ungozi wao tofauti sana na Uongozi wa Kiulimwengu
That's what is Roman Empire