Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 11,321
- 17,813
Nilisoma jujuu mkuu baadae nikaona na chini nilimjibu mdau nimeona nikamshukuru kunistua.We jamaa nenda kwa daktari wa Macho.
Nilisoma jujuu mkuu baadae nikaona na chini nilimjibu mdau nimeona nikamshukuru kunistua.We jamaa nenda kwa daktari wa Macho.
Kiongozi udini hauwez kukusaidia chochote! Ila dini inaweza kukusaidia kuwa mvumilivu, muungwana na mwenye staha! Udini unafarakanisha! Sheikh na Mapdre wote ni Watumishi wa Mungu!Usilinganishe Masheikhe na vitu vya kipumbavu. We unaamini aliyeandika barua ameshirikisha ubongo wake mtu hajulikan halipo alaf anagombea, Ameandika barua ya kuacha kazi alaf Ameachishwa upadre anaandikiwa barua ili wawasiliane. Askofu anakosa namba ya Padre wake , anakosa email ya Padre wake
Weeee! Ishia hapo hapo, mapadri wanapiga mechi na watoto juu na hawafanywi chochoteKwenye suala zima la Discipline RC wapo njema sana
Unaweza kujifukuza ndani kwako? Gwaji boy kanisa ni mali yakeJe, tapeli gwajima atajifukuza mwenyewe?
Umenikumbusha kuna Padre amezaa na Nesi watoto watatu,na unafahamika kabisa hata kwa watoto wa chekecheaWeeee! Ishia hapo hapo, mapadri wanapiga mechi na watoto juu na hawafanywi chochote
😂😂😂Bado Sheikh Majini
Nchi ngumu hiiPia wasisahau wanaye tapeli Msigwa, yeye pia anatumikia mabwana wawili
Mkuu umewaza sahihi kabisa......wapo wengi tu huko madhabahuniUnaweza kuta alikuwa TISS sasa ametafuta mlango wa kutokea.
Kumbe hujui hata kusomaMbona barua inasema aliacha kazi kwa hiari yake mwenyewe. Habari ya kufukuzwa inakuja vipi. Mara nyingine muache kujitoa ufahamu nyie nyumbu. Hiyo kimsingi ni barua ya taarifa na kuthibitisha jamaa kuacha kazi. Pia kila mty anao uhuru wa kuishi atakavyo. Hata kadinali anaweza kuamua kubadilisha mwelekeo wa maisha yake.
Kaka yake Bi mdashi alikuwa padri ila sasahivi ni marehemu na amecha watotoUmenikumbusha kuna Padre amezaa na Nesi watoto watatu,na unafahamika kabisa hata kwa watoto wa chekechea
Yaani wewe ni Kilaza wa kutupwa kuwahi kutokea JFHii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Qmamae we Kilaza Rwaichi sio CardinalAtaandikiwaje pengo ikiwa Alisha staafu na kwa Sasa cardinali ni Rwaichi,hiyo barua nibya uongo
Anahoja na anajua kujieleza haswa.Huyo Padre ndio huyu hapa siku akiomba kura kwa wajumbe huko Nkenge Bukoba!View attachment 1524350
Another idiotUkiwa askofu mkuu wa jimbo katoliki dar lazima uwe cardinal refer kwa cardinal aliyepita kabla ya pengo
Hakuna cheo kinaitwa Cardinal wa Tanzania au wa nchiMimi ni mkatoliki,hilo unalo dai siyo sahihi.Ruwaich ni Askofu mkuu wa jimbo la Dsm na Pengo anabaki kuwa Kardinali wa Tz hadi pale baba Mtakatifu atakapomtangaza kardinali mwingine mpya wa Tanzania
Nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM walivyokuwa wengi lakini hawana maarifaMbona barua inasema aliacha kazi kwa hiari yake mwenyewe. Habari ya kufukuzwa inakuja vipi. Mara nyingine muache kujitoa ufahamu nyie nyumbu. Hiyo kimsingi ni barua ya taarifa na kuthibitisha jamaa kuacha kazi. Pia kila mty anao uhuru wa kuishi atakavyo. Hata kadinali anaweza kuamua kubadilisha mwelekeo wa maisha yake.