Uchaguzi 2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

Usilinganishe Masheikhe na vitu vya kipumbavu. We unaamini aliyeandika barua ameshirikisha ubongo wake mtu hajulikan halipo alaf anagombea, Ameandika barua ya kuacha kazi alaf Ameachishwa upadre anaandikiwa barua ili wawasiliane. Askofu anakosa namba ya Padre wake , anakosa email ya Padre wake
Kiongozi udini hauwez kukusaidia chochote! Ila dini inaweza kukusaidia kuwa mvumilivu, muungwana na mwenye staha! Udini unafarakanisha! Sheikh na Mapdre wote ni Watumishi wa Mungu!
 
IMG_20200801_231411.jpg
 
Mbona barua inasema aliacha kazi kwa hiari yake mwenyewe. Habari ya kufukuzwa inakuja vipi. Mara nyingine muache kujitoa ufahamu nyie nyumbu. Hiyo kimsingi ni barua ya taarifa na kuthibitisha jamaa kuacha kazi. Pia kila mty anao uhuru wa kuishi atakavyo. Hata kadinali anaweza kuamua kubadilisha mwelekeo wa maisha yake.
Kumbe hujui hata kusoma
 
Huyo Padre ndio huyu hapa siku akiomba kura kwa wajumbe huko Nkenge Bukoba!
 
faza keshaingizwa chaka

amekuwa mwanakuli find na mwanakuli get
 
Mbona barua inasema aliacha kazi kwa hiari yake mwenyewe. Habari ya kufukuzwa inakuja vipi. Mara nyingine muache kujitoa ufahamu nyie nyumbu. Hiyo kimsingi ni barua ya taarifa na kuthibitisha jamaa kuacha kazi. Pia kila mty anao uhuru wa kuishi atakavyo. Hata kadinali anaweza kuamua kubadilisha mwelekeo wa maisha yake.
Nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM walivyokuwa wengi lakini hawana maarifa
 
Back
Top Bottom