Tumor marker
Member
- Jul 22, 2018
- 57
- 63
alishazingua siku nyingi huyu. aliwahi kuwa paroko wang wakati fulaniHuyu Nye.ge zimemzidi kaamua kuondoka huko kwenye siasa kapita kama njia tuu.
alishazingua siku nyingi huyu. aliwahi kuwa paroko wang wakati fulaniHuyu Nye.ge zimemzidi kaamua kuondoka huko kwenye siasa kapita kama njia tuu.
Pia kuna sister aligombea, inabidi na yeye abalaswe.Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm!
Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM
View attachment 1523939
ukardinali ni cheo ambacho mtu anabaki nacho mpaka akiingia kaburini, hata akistaafu anabaki nacho na anaheshimiwa hivyo japo akishafika miaka 80 hawezi kushiriki kwenye mchakato wa kumchagua papa.Kwahiyo huyo ruwaichi anakaimu?
Wewe kutozaliwa sio suala hapa. Walao nimekuelemisha kuwa walikuwepo wanofanya kazi nje ya upadri na wanaendelea na upadri wao. Suala.ni.ruhusa tu. Nimekumbusha tu kama ruhusa ipo kutoka kwa mkuu wake agombea tuMbona unaleta mambo ya miaka ambayo wengi humu walikuwa hawajazaliwa? Askofu amenukuu kanisa na canon law inayozuia mtiwa mafuta wa Bwana kushika nafasi ya kisiasa. Ina maana huo msitari kwenye barua hukuuona?
Anaweza hasimtangaze mwingine pia tukabaki hivyo hivyo bila kardinaliMimi ni mkatoliki,hilo unalo dai siyo sahihi.Ruwaich ni Askofu mkuu wa jimbo la Dsm na Pengo anabaki kuwa Kardinali wa Tz hadi pale baba Mtakatifu atakapomtangaza kardinali mwingine mpya wa Tanzania
Kweli ila sasa wenzio walio upande mwingine umewaita nyumbu huku ukijua kua kila mtu anao Uhuru iliMbona barua inasema aliacha kazi kwa hiari yake mwenyewe. Habari ya kufukuzwa inakuja vipi. Mara nyingine muache kujitoa ufahamu nyie nyumbu. Hiyo kimsingi ni barua ya taarifa na kuthibitisha jamaa kuacha kazi. Pia kila mty anao uhuru wa kuishi atakavyo. Hata kadinali anaweza kuamua kubadilisha mwelekeo wa maisha yake.
Kwahiyo Pengo sasa hivi anaweza kusamehe dhambi?Tanzania haina Kadinali bado. Ruwaichi ni Askofu mkuu. Pia bado Pengo hajaagwa kwa misa takatifu!
Muwe mnatolea ufafanuzi vitu mnavyofihamu.Hii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Alikuwa anafanyaje?alishazingua siku nyingi huyu. aliwahi kuwa paroko wang wakati fulani
c unajua dada zetu co watu wazuri. walimpotosha baba padre.Alikuwa anafanyaje?
Afukuzwe jumla huyo akapambane na dunia!c unajua dada zetu co watu wazuri. walimpotosha baba padre.
Anaweza hasimtangaze mwingine pia tukabaki hivyo hivyo bila kardinali
Huyo ni mungu wa dini yakeJe, tapeli gwajima atajifukuza mwenyewe?
kuanzia miaka ya 80 papa yohane paulo 2 aliweka sheria kuzuia waklero kushiriki kwenye mambo ya kisiasa.Hivyo hairuhusiwi kabsa mkuu. Rejea tukio ambalo papa alimwonya hadharani padre mmoja huko nicaragua miaka hiyo.Wewe kutozaliwa sio suala hapa. Walao nimekuelemisha kuwa walikuwepo wanofanya kazi nje ya upadri na wanaendelea na upadri wao. Suala.ni.ruhusa tu. Nimekumbusha tu kama ruhusa ipo kutoka kwa mkuu wake agombea tu
Kanisa halichangamani na ukiona vinginevyo unapaswa kujiuliza.Rejea biblia upate maarifa zaidi.Kanisa katoliki lipunguze ukoloni .
Amesoma hiyo hiyo barua.Kuna tofauti ya kusoma na kuelewa.Si wote wanaosoma wanaelewa Bali ni wachache wanaosoma na kuelewa.Mkuu umesoma barua ipi?
Sijaona jina la Pengo hapo kwenye barua.
Nimekujibu lakini hukutaka kunisikiliza kuwa Rwaichi si cardinal lakini unazidi kulalamaKwani vipi?ujinga wangu uko wapi?