Achague A au B asitake kuleta style za Lipumba za kuacha kazi na kurudi ofisini kwa nguvu.Biblia inasema wazi huwezi kutumikia MABWANA wawili
Alienda kusikojulikana. Amesimamihswa maana kabla ya hapo alikuwa bado hajajibiwa.Mbona barua inasema aliacha kazi kwa hiari yake mwenyewe. Habari ya kufukuzwa inakuja vipi. Mara nyingine muache kujitoa ufahamu nyie nyumbu. Hiyo kimsingi ni barua ya taarifa na kuthibitisha jamaa kuacha kazi. Pia kila mty anao uhuru wa kuishi atakavyo. Hata kadinali anaweza kuamua kubadilisha mwelekeo wa maisha yake.
Yule ni kichwa maji kama wewe sizani kama atapita.Mwambie na yule wenu wa morogoro muuza unga anayetabiri ugoro kwa Lisu nae afatane na huoyo wa bukoba, wakatubu.
Kanisa katoliki lipunguze ukoloni .Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm!
Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM
View attachment 1523939
Pia wasisahau wanaye tapeli Msigwa, yeye pia anatumikia mabwana wawiliMwambie na yule wenu wa morogoro muuza unga anayetabiri ugoro kwa Lisu nae afatane na huoyo wa bukoba, wakatubu.
Gwajima anatumia Biblia ipi?Biblia inasema wazi huwezi kutumikia MABWANA wawili
Kwani upadri ni kazi yani namanisha ajira???Mbona barua inasema aliacha kazi kwa hiari yake mwenyewe. Habari ya kufukuzwa inakuja vipi. Mara nyingine muache kujitoa ufahamu nyie nyumbu. Hiyo kimsingi ni barua ya taarifa na kuthibitisha jamaa kuacha kazi. Pia kila mty anao uhuru wa kuishi atakavyo. Hata kadinali anaweza kuamua kubadilisha mwelekeo wa maisha yake.
Bongo movie yule. Umesahau sinema za misukule?Gwajima anatumia Biblia ipi?
AiseeAlienda kusikojulikana. Amesimamihswa maana kabla ya hapo alikuwa bado hajajibiwa.
Yaani Padre wa RC anaomba ubunge?!?! Duh...Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm!
Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM
View attachment 1523939