👌Kitu kama haukijui KAA KIMYA, ukiwa Askofu mkuu Jimbo la Dar es salaam SIO LAZIMA UWE KADINALI, kwani huyo Askofu Mkuu wa sasa ni Cardinal? Mbona Baba mtakatifu amemteua kuwa Askofu mkuu Jimbo la Dar? Sio lazima awe Cardinal ila lazima awe Askofu, japo hao waliopita walikua ma Cardinal
Acha KushangaaYaani Padre wa RC anaomba ubunge?!?! Duh...
Ukiingia ndani sanaaaaa yani namaanisha ndani sanaaaaa utagundua kuwa katiba ya katoliki inanguvu na inaheshimika kuliko katiba ya nchi ila ndio hadi uingie ndan sanaaaaIpi ifuatwe Katiba ya nchi inayo mpa mwananchi Hakj ya kuchagua na kuchaguliwa, au Katiba ya Kanisa Katoliki inayo weka Mipaka?!
Uzushi upi?Sio umri, aliona asiendelee na uzushi akajikataa
Na hiyo ni Kawaida sana, Hata wale wenye Michepuko Kiroho wamejiondoa kwenye Hiyo taaluma na hata wanaitamani siasa kama yule wa Kagera yule Mnyarwanda ambaye kucha anitukuza Chadema badala ya Mungu.Mbona barua inasema aliacha kazi kwa hiari yake mwenyewe. Habari ya kufukuzwa inakuja vipi. Mara nyingine muache kujitoa ufahamu nyie nyumbu. Hiyo kimsingi ni barua ya taarifa na kuthibitisha jamaa kuacha kazi.
Pia kila mty anao uhuru wa kuishi atakavyo. Hata kadinali anaweza kuamua kubadilisha mwelekeo wa maisha yake.
Hapana Kwa sasa Rwaichi sio cardinal ni askofu mkuu wa jimbo la DarHii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Uzushi kuwa yeye ni mtakatifuUzushi upi?
Amandla...
Nyoko unadhani kirahisi hivyo?Mbona barua inasema aliacha kazi kwa hiari yake mwenyewe. Habari ya kufukuzwa inakuja vipi. Mara nyingine muache kujitoa ufahamu nyie nyumbu. Hiyo kimsingi ni barua ya taarifa na kuthibitisha jamaa kuacha kazi.
Pia kila mty anao uhuru wa kuishi atakavyo. Hata kadinali anaweza kuamua kubadilisha mwelekeo wa maisha yake.
Lini Rwaichi kawa Cardinal haaa haaa uongo mwingine mbaya sanaHii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Mkuu kwani ukitumia lugha nzuri kuna ubaya?.Hapo kuna mambo mawili,mosi aliandika barua ya kuacha Upadre kwa hiari yake,pili aliamua kugombea ubunge pasipo kibali cha Askofu wake,Ktk barua hii Askofu anarejea ktk sheria za Kanisa kuwa kwa kugombea ubunge anamsimamisha Upadre,hivyo barua ya Askofu imejikita hasa kwenye kujihusisha na siasa,kwa lugha nyingine bado ana muda wa kujitafakari na kubadilisha gia akiwa angani.Mbona barua inasema aliacha kazi kwa hiari yake mwenyewe. Habari ya kufukuzwa inakuja vipi. Mara nyingine muache kujitoa ufahamu nyie nyumbu. Hiyo kimsingi ni barua ya taarifa na kuthibitisha jamaa kuacha kazi.
Pia kila mty anao uhuru wa kuishi atakavyo. Hata kadinali anaweza kuamua kubadilisha mwelekeo wa maisha yake.
Hii barua ni feki. KUSIMIMISHWA ndiyo nini?Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm!
Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM.
Ni witoKwani upadri ni kazi yani namanisha ajira???
Kwenu ninyi hakuna jema.Hii barua ni feki. KUSIMIMISHWA ndiyo nini?
Kanisa Katoliki la Tanzania bado linaye kardinali, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo. Ukardinali ni title ya kudumu kama Padre au Doctor, hata akistaafu madaraka yake anabaki na daraja yake hiyo kama ilivyo, na haitwi 'kardinali mstaafu', kama ambavyo hujawahi kusikia title ya 'dokta mstaafu'. Alichostaafu Kardinali Pengo ni uongozi wa jimbo kuu la Dar es salaam, ambao amekabidhi kwa Askofu Mkuu Yuda Tadei Ruwa'ichi.Tanzania haina Kadinali bado. Ruwaichi ni Askofu mkuu. Pia bado Pengo hajaagwa kwa misa takatifu!
Hii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Tanzania haina Kadinali bado. Ruwaichi ni Askofu mkuu. Pia bado Pengo hajaagwa kwa misa takatifu!