TANZIA Padre Richard Mshami wa Jimbo la Tanga afariki dunia

Mwanaukweli

JF-Expert Member
May 18, 2007
4,787
1,710
Mshami.jpg

Msimamizi wa Jimbo Katoliki Tanga, Pd. Thomas Kiangio, anasikitika kutangaza kifo cha Pd. Richard J. Mshami, kilichotokea tarehe 10/03/2021 katika Hospitali ya Rugambwa huko Dar es Salaam alikokuwa akitibiwa.

Ibada ya mazishi ni siku ya Jumatano tarehe 17/03/2021 huko parokiani Kilole Korogwe Tanga, kuanzia saa 4 asubuhi.

Pumzika Kwa Amani Padre Richard Mshami.

Amina.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom