Padre (dokta) Henry Rumisho (PHD)

Kanisa katolic kiboko huyu anajulikana wasiojulikana nawanafanya kazi na serikali ya ccm wangapi kwakweli nimechoka
 
Taasisi karibu zote za kidini..na hata hao walokole....sijui manabii na mitume..bakw'ta nk.. viongozi wao ni wale jamaa...

Ni kwa vile watu hawajui Hilo!
 
Aachane na upadre ili afanye kazi yake vizuri kama mwanasayansi. Atuonyeshe vinavyoonekana kuliko mambo ya rohoni.
 
Usishuhudie uwongo
Jidanganye mkuu tunalea watoto wa mapadre huku mtaani kimyakimya. Moja ya maagizo ya kwanza kabisa ya Mungu ilikuwa ni zaeni mkaongezeke. sasa mapadre wao ni akina nani hata wasitii agizo hilo?
 
Kwa kuelimishana ni kwamba kanisa katoliki chini ya Papa ni Serikali yenye Kila kitu,Wana jeshi lao,Benki yao,wapo mawaziri wao in short Wana Kila kitu,na mambo ya ulinzi ndo wako vizuri Zaidi.Pia Kila nchi Ina balozi kutoka Vatican,Kwa hapa East Africa makoa makuu ya jeshi la papa ni Nairobi na ipo chini ya Askofu mwenye cheo Cha kijeshi Cha Jenerali.Hawa watu ni zaidi ya tujuavo.Hakuna Nchi duniani ya kushindana nao na kuwaweza .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom