NewDawnTz
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,667
- 362
:cheer2:
Padre alipotea katikati ya mji akiwa anatafuta kwena mahali ofisi ya posta ya wilaya ilipo....
Kwa bahati nzuri Padre akamwona kijana mmoja mstaarabu akaamua kumuomba yule kijana maelekezo ya namna ya kufika posta
Kijana yule alimwelekeza mpaka padre akaelewa. Padre akamshukuru sana yule kijana. Kisha akamwambia kijana
Padre: Ahsante sana kijana wangu kwa kunionesha njia ya posta, na wewe karibu jumapili kanisani kwangu nikuoneshe njia ya peponi
Kijana akamwambia padre: "Njia ya posta yenyewe huijui, ya kwendea peponi utaijuaje?"