Padre Baptist Mapunda atoa somo gumu Songea leo

Quran imeingiaje tena Chadema bana, hivi Waislam waliwakosea nini?

Acha dhihaka na post zenye kukejeli imani za watu wengine. Nchi yetu imefikia kufanya maamuzi au kuchagua viongozi kwa kuangalia dini zao na wala si weledi wa kazi husika. Hapa jukwaani mara nyingi unakuja kuitetea ccm huku ukitumia uislamu kama kinga kwa hoja za kipuuzi. Unaonekana hujui ama unafanya maksud kama hapa jf imekuwa sehemu ya kushinda viongozi wa siasa ambao sasa wamejikuta hawana uwezo wa kimaamuzi bali kutoa maamuzi na kuteua viongozi kwa mitazamo ya kidini. Leo hii mmefanya propaganda za kipuuzi kwa kutumia dini kama kinga mpaka kupelekea kufanya kwamba ccm ianze kuonekana ya kiislam na cdm ya kikristo. Upuuzi huo mnaoufanya hapa jukwaani umepelekea waislim kujiona hawatendewi haki na mfumo huu dhaifu mpaka wanajikuta wanadai mahakama ya kadhi, badala ya kupambana kuibana serekali iwapelekee waumini wao maji safi, umeme, elimu na afya bora inajitahidi serekali iwapatie mahakama ili washitakiane waache kudai huduma bora za kijamii. Sasa upuuzi wenu utawafanya waislamu wajivunie taasisi ya mashitaka kana kwamba waislam ni watu wasio na maadili huku ukiacha wakristu na wengineo wakikazana kuleta huduma muhimu za kijamii, kwani waisilamu watakuwa mahakamani kushitakiana.

Nikukanye kabisa, ukiingia hapa jukwaa la siasa changia kisiasa na sio kutumia uislamu kuharibu mada na kuleta fitina za kidini kwa maslahi ya kisiasa.
 
Ee MUNGU Wangu,naja Mbele Yako,natubu Dhambi Zangu Zote,nilipokea RUSHWA Ya PESA,PILAU,KITENGE,TISHETI Na MAKOFIA Nikachagua Chama Hiki,ambacho Sasa Kimenigeuka,kimefisadi Kila Mahali,nikiuza Bidhaa Kariakoo,makoroboi Navamiwa Na Mgambo Wanachukua Bidhaa Zng,nikawa Mama Ntilie Mgambo Wakataifisha Pilau Langu Wakapeleka Majumbani Kwao, Nikawa Bodaboda Nikakamatwa Kwa Kuingia Mjini Faini Laki 1,Nimehamia Kijijini Kujaribu Bahati,nikafanikiwa Kuwa Na Ng'ombe 1.Wakaja Mgambo Wakamchukua Kisa Sijachangia Ujenzi Wa Maabara!Wao Na ESCROW Yao Hawajawahi Kutangaza Wametoa Ngapi Kwenye Mishahara Yao Kuchangia Ujenzi Wa Maabara? Mtoto Wangu Nyarugusu Kafaulu Kwenda Chuo, Kakosa Mkopo, Mtoto Wa Mbunge Wangu Ambae Pia Ni Waziri AMEBAHATIKA Amepata Mkopo Wa 100%.EWE MUNGU Sikia Tubio Langu Hili,naomba Ukafanye Miujiza Yako 2015,Kila Fisadi Ukamtetemeshe Na Asiweze Kupita Kuwa Rais.Naomba Ukawaangazie Na Wenzangu Ambao Hawajaona Udharimu Huu.Angalia BIMA YA AFYA TUNAVYONYONYWA HAKUNA WA KUKE
 
Acha dhihaka na post zenye kukejeli imani za watu wengine. Nchi yetu imefikia kufanya maamuzi au kuchagua viongozi kwa kuangalia dini zao na wala si weledi wa kazi husika. Hapa jukwaani mara nyingi unakuja kuitetea ccm huku ukitumia uislamu kama kinga kwa hoja za kipuuzi. Unaonekana hujui ama unafanya maksud kama hapa jf imekuwa sehemu ya kushinda viongozi wa siasa ambao sasa wamejikuta hawana uwezo wa kimaamuzi bali kutoa maamuzi na kuteua viongozi kwa mitazamo ya kidini. Leo hii mmefanya propaganda za kipuuzi kwa kutumia dini kama kinga mpaka kupelekea kufanya kwamba ccm ianze kuonekana ya kiislam na cdm ya kikristo. Upuuzi huo mnaoufanya hapa jukwaani umepelekea waislim kujiona hawatendewi haki na mfumo huu dhaifu mpaka wanajikuta wanadai mahakama ya kadhi, badala ya kupambana kuibana serekali iwapelekee waumini wao maji safi, umeme, elimu na afya bora inajitahidi serekali iwapatie mahakama ili washitakiane waache kudai huduma bora za kijamii. Sasa upuuzi wenu utawafanya waislamu wajivunie taasisi ya mashitaka kana kwamba waislam ni watu wasio na maadili huku ukiacha wakristu na wengineo wakikazana kuleta huduma muhimu za kijamii, kwani waisilamu watakuwa mahakamani kushitakiana.

Nikukanye kabisa, ukiingia hapa jukwaa la siasa changia kisiasa na sio kutumia uislamu kuharibu mada na kuleta fitina za kidini kwa maslahi ya kisiasa.
Umeandika uharo mwingi sana.
 
Nashangaa mijitu hala inashadadia ooh namfahamu huyo padre toka so n so... Kazi ya padre ni kuhubiri mambo ya mungu au habari za siasa. Ya kaisari amwachie kaisari
kama siasa zina waathiri waumini padre ana haki ya kusema yaliyo moyoni mwake. Ni kazi ya padre kukemea uovu wa vyama vya siasa na viongozi wake; na kuwa tahadharisha waumini na athari za kuendelea kuongozwa na chama kile kile chenye mfumo ule ule watu wale wale wanaofanya yale yale kwa miaka 38 huku wakitegemea matokeo tofauti.

Nampongeza Padre kwa kuusemea moyo wake kwa uwazi.
 
Nyie Kanisani kwenu si mnafundishwa ufisadi kama viongozi wenu kina Askofu Kilaini mafisadi nyie wafuasi mtakuaje.

kati ya hao unaodai ni mafisadi kuna aliyetoka chama tofauti na chama cha mauaji?
 
Quran imeingiaje tena Chadema bana, hivi Waislam waliwakosea nini?

wewe ndiyo umeanza kuhusu chadema na dini maana mada ilikuwa kuhusu ccm na ukatili juu ya wananchi.
 
Kwa wana jf wote jina la Padre Baptist Mapunda si geni. Leo alikuwa anahubiri hapa kanisa la Mjimwema Songea mjini. Bahati nzuri leo hii ni sherehe za CCM kutimiza miaka 38.

Alisema leo wana sherehekea miaka ya 38 ya kuwatesa na kuwanyanyasa nyie wananchi. Hawa ni wauaji na nyie mnawa shangilia. Kuendelea kuichagua ni kujichoma sindano ya sumu. Unakufa taratibu. Anasema najua mpo wana CCM hapa nendeni mkamwambie Kikwete nipo hapa leo.

Katiba inayopendekezwa. Akauliza mnataka kuipigia kura ya ndiyo mmeisoma? Anauliza wangapi wanayo? Akanyosha mtu mmoja tu kanisa nzima. Mnaona umati wote huu anayo mmoja tu? Halafu unashabikia CCM. Kwanini hawasambazi mkaipata? Kimya kanisa lote.

Escrow na Askofu. Alimponda askofu aliyechukua milioni 80. Anasema yule askofu hana maadili. Unachukuaje hela usiyoijua wala usiyofanyia kazi,?

Hitimisho; CCM kuendelea kuiweka madarakani ni kujilisha sumu mwilini mwisho itakuua mwenyewe.

Hakika Padre huyu mahubiri yake unaweza kuyaogopa kama una moyo mwepesi

Hivi miaka 20 ya upadri wake tayali?

Kama tayali, pls apewe uaskofu once nafasi inapatikana.
 
Wapi nimetukana? Kusema Slaa kapora mke wa mtu ni tusi au Slaa katelekeza familia yake ni tusi? Kamkataze Rose Kamili aliofungua kesi mahakamani.

Dash, pole zake Babu seya mpaka leo anaendelea kusota gerezani yeye na wanawe.!!

Ama kweli Mapenzi ni sumu.!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Nashangaa mijitu hala inashadadia ooh namfahamu huyo padre toka so n so... Kazi ya padre ni kuhubiri mambo ya mungu au habari za siasa. Ya kaisari amwachie kaisari
Kuusema ukweli ni kuingilia ya "Kaisari?"?Hivi ni kweli huielewi hali ilivyo kwa waliowengi wanateseka kwa umaskini au unajitoa ufahamu? kweli anyebeba hela kwenye rumbesa wakati waliowengi wanakimbizana na matonge ya ugali unamtaka akuongoze kukupeleka wapi..Rejao jinsi wewe na wenzio mnavyochukulia mambo mnaitumbukiza nchi katika vita
 
Nashangaa mijitu hala inashadadia ooh namfahamu huyo padre toka so n so... Kazi ya padre ni kuhubiri mambo ya mungu au habari za siasa. Ya kaisari amwachie kaisari

Kwani Yesu hakuhubiri siasa...!!!! Ama Yesu hakuwashambulia wanasiasa...!!!!?? Pumbavu...!!!! Maandiko hujui kazi kuongea ongea tu. Kaa kimya kama huna neno Mkuu...!!!! Unasababisha jumapili ya leo iende vibaya sana kwangu....!!!!! Sima neno la Mungu vizuri...!!!!!
 
Mjinga sana huyu Padre,sasa si aseme tuchague chamagani!au tuchague chama cha padre mwenzake yule MZIZI slaa?MAPADRE na MAASKOFU wa RC walisababisha MAUWAJI ya KIMBARI kule RWANDA.tuwe makini.

Pumbavu sana wewe...!!! Unamtukana amekukosea nini...!!!! Kwani uarabuni hawapigani...!!!!??? Au hiyo vita imeanzia kimbari tu...!!! Jinga wewe. Marufuku kumtukana mtumishi wa Mungu. Ukome...!!! Nchi ngapi za kiislamu zinaongoza kwa mauaji wa kinyama...!!!! Hebu ongea ukweli wako au huko kuna mapadri na maaskofu...!!!???
 
Back
Top Bottom