Padre Baptist Mapunda atoa somo gumu Songea leo

Mjinga sana huyu Padre,sasa si aseme tuchague chamagani!au tuchague chama cha padre mwenzake yule MZIZI slaa?MAPADRE na MAASKOFU wa RC walisababisha MAUWAJI ya KIMBARI kule RWANDA.tuwe makini.

si bure ata babako kiwete alisababishi mauaji uko kiteto kati ya wafugaji na wakulima na hata morogoro pia kwa mikataba yenu feki au na wew ni brainwashed? amani ya bwana iwe nawe
 
mbona nyie mnafundishana ugaidi misikitini mwenu je ni jambo geni kwako au Fr mapunda kuongoza waumini wake sehem mahala salama kwako ni kero? amani ya bwana iwe nawe
Mwambie Padre Mapunda amwambie Padre mwenzake Slaa aache kupora wake za watu.
 
Mojawapo ya kazi za kanisa na watumishi wake ni pamoja na:

1) Kuhubiri upendo
Katika upendo viongozi wakristo wanaaswa na Kristo kufanya kazi kama watumishi badala ya kuwa watawala. Kristo mwenyewe katika kulisisitiza hilo, aliwaosha miguu wafuasi wake (Yohana 13: 1-17, Mathayo 20: 25-27), kazi ambayo katika uyahudi ilikuwa ikifanywa na mtumwa kwa mgeni au mwenye nyumba anapoingia sebuleni. Ndani ya CCM na serikali kuna viongozi wakristo ambao hawafuati mafundisho haya, na hawa ni wafuasi na wanafunzi wa Kanisa ambao Padre mapunda ana haki na anawajibika kuwaambia kuwa wanavyofanya si kadiri ya mafundisho ya biblia bali ni ufuasi wa shetani. Na hapo Padre mapunda ana wajibu pia wa kuwaeleza wakristo wasimfuate wala kumtumikia shetani.

2) Kuijua na kuihubiri kweli
Viongozi wa kanisa wana wajibu wa kuwafundisha wakristo kweli ya kristo ambayo husimama katika haki. Yeyote anayeshirikiana na fedhuli kuwagandamiza watu wanyonge na maskini, ni tunda la shetani. CCM inaposhirikiana na serikali kuwaibia, kuwatesa, kuwadanganya na kuwatelekeza watanzania wanyonge, yeyote anayeshirikiana na CCM naye anakuwa ameshiriki uovu. Padre Mapunda ana haki na wajibu wa kuwaeleza waumini kutengana na wadhulumaji, wevi na waongo

Nashangaa mijitu hala inashadadia ooh namfahamu huyo padre toka so n so... Kazi ya padre ni kuhubiri mambo ya mungu au habari za siasa. Ya kaisari amwachie kaisari
 
Riz, ni aya gani ile kwenye Quran inayozui kutukana, usije ukatukaniwa mtume/Mungu wako? Unaona maneno yako ya kijinga yanavyosababisha Rais wetu kudhalilishwa?

Mkeo ameporwa na Dr. Slaa? Fafanua ili tufahamu.
 
Kilaini na Nzigirwa hawana maadili kabisa. Fr. Mapunda umesema vema. Huwezi kupokea mamilioni usiyoyajua halafu ukabana kimya! Ingekuwa siyo Kafulila tusingejua na Kilaini pamoja na Nzigirwa wangeziponda mahela hayo kwa raha zao na koo zao. Hakuna senti ingeingia kanisani. Kuhusu Katiba pendekezwa, uliyoyasema Fr. Mapunda ni sahihi sana. Machoni pangu hiyo ni sawa na toilet paper. CCM waiweke kwenye vyoo vyao. Haifai. Kura yangu ni HAPANA.
 
Nashangaa mijitu hala inashadadia ooh namfahamu huyo padre toka so n so... Kazi ya padre ni kuhubiri mambo ya mungu au habari za siasa. Ya kaisari amwachie kaisari

Huyo padri ndio viongizi wa dini wanaotakiwa kwa ajili ya amshaamsha ya wananchi kijitambua na kutoka kwenye blangeti la amani walilofunikwa ili waibiwe. Tungekuwa na viongozi wa dini wa aina hiyo 20 tu nchi hii leo usingetuka tuna viongozi vishoka wa siasa. Nchii imejikuta inaongozwa na viongozi vishoka kwani watu hawakujali kuchagua viongozi bora wakidhani wote wako kana Nyerere. Matokeo yake wezi, wala rushwa, walevi wa madaraka wamekamata uongozi wa nchi, wameishia kuingia mikataba ya raslimal za umma kwa mikataba ya rushwa, kilaghai mpaka wameifanya siri. Sasa ngoma imekuwa kuwatoa madarakani. Wako tayari hata kuua huku wakicheza na mambo muhimu kama katiba ya nchi. Kwenye vita hii kila mtu ana wajibu wa kuwatoa ccm madarakani kasoro nyinyi mnaofaidika na wizi huu.

Kama wewe sio mnafiki kanusha hili. Leo hii watanzania wengi wanajua kuna kombe la soka la mataifa ya Afrika kupitia njia za upashanaji wa habari, je ni watanzania wapangaji wameshaisoma katiba pendekezwa achia mbali kuiona!!? Ni kipi bora kwa watz kwa sasa kukifahamu, katiba ama soka la africa? Katika mazingira haya unataka padre akae kimya eti ni mambo ya siasa. Hivi unataka kuniambia na umri ulio nao katiba ni jambo la kisiasa ama la umma?
 
Riz, ni aya gani ile kwenye Quran inayozui kutukana, usije ukatukaniwa mtume/Mungu wako? Unaona maneno yako ya kijinga yanavyosababisha Rais wetu kudhalilishwa?
Quran imeingiaje tena Chadema bana, hivi Waislam waliwakosea nini?
 
Usikwepeshe ukweli na kuwaingiza Waislam wote kwa tatizo lako binafsi. Nilikuwa nakukumbusha, maana waislam najua wamekatazwa kutukana maana ukifanya hiyo incitation unajenga mazingira ya mpinzani wako kuwatukana hata wazazi na viongozi wako. Wewe umeanza kwa kumdhihaki na kumtusi Dr. Slaa, matokeo yake umewafanya watu wamtukane kiongozi mkuu wa CCM ambaye pia ni Rais.

Kuwa muumini mwema na wala usiende kinyume na mafundisho ya imani yako. Heshimu watu, nawe na ndugu zako na viongozi wako wataheshimiwa.

Quran imeingiaje tena Chadema bana, hivi Waislam waliwakosea nini?
 
fr mapunda alikuwa padri wa kanisa la magomeni dar siku hizi mbona simuoni hapa magomeni au kahamishwa?
 
Huyu padri angemshauri kwanza Padri mwenzake Slaa arudishe mke wa mtu
 
Usikwepeshe ukweli na kuwaingiza Waislam wote kwa tatizo lako binafsi. Nilikuwa nakukumbusha, maana waislam najua wamekatazwa kutukana maana ukifanya hiyo incitation unajenga mazingira ya mpinzani wako kuwatukana hata wazazi na viongozi wako. Wewe umeanza kwa kumdhihaki na kumtusi Dr. Slaa, matokeo yake umewafanya watu wamtukane kiongozi mkuu wa CCM ambaye pia ni Rais.

Kuwa muumini mwema na wala usiende kinyume na mafundisho ya imani yako. Heshimu watu, nawe na ndugu zako na viongozi wako wataheshimiwa.
Wapi nimetukana? Kusema Slaa kapora mke wa mtu ni tusi au Slaa katelekeza familia yake ni tusi? Kamkataze Rose Kamili aliofungua kesi mahakamani.
 
Huyu mganga wa jadi njaa inamsumbua tu hajui aishi vipi siku hizi uganga wa jadi haulipi ndiyo maana hata mwenzake kakobe anazidi kupauka tu.
 
Ee MUNGU Wangu,naja Mbele Yako,natubu Dhambi Zangu Zote,nilipokea RUSHWA Ya PESA,PILAU,KITENGE,TISHETI Na MAKOFIA Nikachagua Chama Hiki,ambacho Sasa Kimenigeuka,kimefisadi Kila Mahali,nikiuza Bidhaa Kariakoo,makoroboi Navamiwa Na Mgambo Wanachukua Bidhaa Zng,nikawa Mama Ntilie Mgambo Wakataifisha Pilau Langu Wakapeleka Majumbani Kwao, Nikawa Bodaboda Nikakamatwa Kwa Kuingia Mjini Faini Laki 1,Nimehamia Kijijini Kujaribu Bahati,nikafanikiwa Kuwa Na Ng'ombe 1.Wakaja Mgambo Wakamchukua Kisa Sijachangia Ujenzi Wa Maabara!Wao Na ESCROW Yao Hawajawahi Kutangaza Wametoa Ngapi Kwenye Mishahara Yao Kuchangia Ujenzi Wa Maabara? Mtoto Wangu Nyarugusu Kafaulu Kwenda Chuo, Kakosa Mkopo, Mtoto Wa Mbunge Wangu Ambae Pia Ni Waziri AMEBAHATIKA Amepata Mkopo Wa 100%.EWE MUNGU Sikia Tubio Langu Hili,naomba Ukafanye Miujiza Yako 2015,Kila Fisadi Ukamtetemeshe Na Asiweze Kupita Kuwa Rais.Naomba Ukawaangazie Na Wenzangu Ambao Hawajaona Udharimu Huu.Angalia BIMA YA AFYA TUNAVYONYONYWA HAKUNA WA KUKEMEA.Naahidi Kutorudia Makosa.Amin
 
Back
Top Bottom