Padre aitaka CCM ijiandae KUONDOKA; Adai yuko tayari kupigwa risasi akisema ukweli

Status
Not open for further replies.
Haya makanisa ndio yalianzisha chokochoko Rwanda watu wakauana kwa mamilioni.

Wewe Zoba, kwani Watutsi na Wahutu ni madhehebun ya kidini? Ungetolea mfano Uamsho wa Zanzibar walivyochoma makanisa na kufakamia Kili za kwenye baa, tungekuelewa. Nasikia hata nyama ya kiti moto zilizokuwa bar zililiwa!
 
Wewe Zoba, kwani Watutsi na Wahutu ni madhehebun ya kidini? Ungetolea mfano Uamsho wa Zanzibar walivyochoma makanisa na kufakamia Kili za kwenye baa, tungekuelewa. Nasikia hata nyama ya kiti moto zilizokuwa bar zililiwa!

Soma huu utafiti wa Mkristo mwenzenu utakusaidia kuujuwa ukweli:

Christian Churches and Genocide in Rwanda

Revision of paper originally prepared for Conference on
Genocide, Religion, and Modernity
United States Holocaust Memorial Museum
May 11-13, 1997


Timothy Longman
Vassar College



In 1994, the small East African state of Rwanda was torn by one of the century's most brutal waves of ethnic and political violence. In a three month period from April to June, the Rwandan Armed Forces (FAR), working with trained civilian militia, systematically massacred as many as 1 million of the country's 7.7 million people.

The primary targets of the violence were members of the minority Tutsi ethnic group, who were chased from their homes, gathered in churches and other public buildings, ostensibly for their protection, then methodically murdered, first with grenades and guns, then with machetes and other traditional weapons.

In the weeks that followed, death squads carefully hunted down and killed survivors of the large-scale massacres. While the exact portion of the Tutsi population killed in the genocide cannot be accurately determined, it seems fair to estimate that at least 80 percent of the Tutsi living in the country lost their lives.(1)

In the aftermath of this horrific bloodbath, Rwanda's Christian churches have faced extensive criticism. Many journalists, scholars, human rights activists, politicians, and even some church personnel have accused the churches not simply of failing effectively to oppose the genocide but of active complicity in the violence.

(2) According to a report by a World Council of Churches team that visited Rwanda in August 1994, "In every conversation we had with the government and church people alike, the point was brought home to us that the church itself stands tainted, not by passive indifference, but by errors of commission as well."(3) My own research in Rwanda in 1992-93 and 1995-96 confirms these conclusions.

According to my findings, church personnel and institutions were actively involved in the program of resistance to popular pressures for political reform that culminated in the 1994 genocide, and numerous priests, pastors, nuns, brothers, catechists, and Catholic and Protestant lay leaders supported, participated in, or helped to organize the killings.(4)

Soma zaidi: Church&Genocide.html
 
maneno ya padre, kadhamilia ;sijamuelewa padre alikuwa na maana gani? SOMALIA au..............

Tanzania inahitaji viongozi ambao watakuwa tayari kuitetea nchi hata kwa kukatwa kichwa, na hivyo kujigamba kuwa hata yeye yupo tayari kwa hilo.
 
kuna mtu anataka kutuaminisha kwamba kwa kuwa rwanda kanisa lilihusika kwenye vita nikatumia muda huo kumdhihaki kwamba angeongeza na nchi hizo za somalia nk nk.

hizi za kanisa kuhusika na mauaji ya rwanda ni fikra za redio iman maana huwa hawasemi kivipi..vita ya rwanda ilihusisha watutsi na hutu na wala si islam na wakristo..na hayo makabila yote yana hizo dini husika..hebu tupeni historia kamili hapa..
 
Huyu padri mdini sana. Kwa kuwa mwenyekiti ni muislam ndio kaibuka. Alipokuwa mkapa alinyamaza kimya.
2015 utasikia huyu ni mbunge wa chadema

MKAPA alikaa Ikulu miaka 10, bei ya vyakula haikuyumba, mfumuko wa bei ulishuka, fedha iliyokusanywa ilikwenda kwenye miradi ya maendeleo. Alichosema Padri ndiyo ukweli, pesa za Watanzania mnapeleka wapi? TRA wamekusanya kwa kuvuka malengo 106% lakini miradi yote ya maendeleo inayopata fedha za ndani imesimama, bei ya vyakula imepanda kwa zaidi ya asilimia 1000 mishahara ya watumishi iko pale pale.

Utawala wa aina hii nani ausifie kama siyo mwendawazimu.
 
Hana tofauti na wale madevu wa Unguja.
Akitaka kuingia siasa si anamwona Mchungaji Msigwa?
Asitumie vibaya mimbari isiyo yake.
wakati bakwata wanaingilia siasa hamuongei, au muamsho wakiingilia siasa hamtaki, makanisa mnachoma bila haya alafu nanaleta upuuzi.....
 
Kumbukumbu za masafa mafupi na zinazojirudirudia ndio tatizo la hawa na walio wengi hapa Tanzania. Kwa mfano hapa kwenye hii thread aliyoandika padre wengi wemeanza kuirukia na kusema mbovu badala ya kujiuliza je alichoandika ni kweli au propaganda?
hawa waislam wanatesa sana kanisa
 
Selikari ya Ccm inaendesha inch hii kwa mfumo kristo mashehe wanazunguka nchi nzima wakiwaponda cdm wasichukue dola kwahiyo wanapenda waendelee kutwaliwa na ccm ya mfumo kristo? Mbona hamueleweki? Viongozi wote wa ngazi za juu nu muslim bado mnalalamika naombea 2015 ccm wasimamishe mkristo tusikie mtaweka wapi nyuso zenu wanafkuna nyie ccm inawalealea hamuoni kama jamii kubwa inaumia bila kujali dini nyie kila kitu mnakiangalia kwa udini enyi wadini wakubwa daw ccm wamsimamishe mkristo mkome na kuipenda ccm kwa sababu sasa hivi inaongwozwa na mwislam.
 
maneno ya padre, kadhamilia ;sijamuelewa padre alikuwa na maana gani? SOMALIA au..............

Tanzania inahitaji viongozi ambao watakuwa tayari kuitetea nchi hata kwa kukatwa kichwa, na hivyo kujigamba kuwa hata yeye yupo tayari kwa hilo.

AMEONGEA UKWELI, hii nchi napelekwa kidini sasa wameamua kuchoma makanisa ,hao uamsho wanajulikana achana na kuchoma makanisa walichoma na matairi karibu na mlango wa polisi lakini hawaambiwi chochote cha kushangaza na wawakilishi wa smz kama raza na masoud wanautetea uamsho. HII NCHI WANATAKA KULIUA KANISA UKIONA PICHA WALIVOHARIBU KANISA NDIO UTAPATA JIBU KWA NINI PADRI KAFIKIA KUYASEMA HAYA
 
Padri anaongelea hali ngumu ya maisha hajagusa dini nadhani yuko sahihi.

nafikiri viongozi wa kanisa katoliki wamekuwa wakielezea kuhusu hali ngumu ya uchumi na kujaribu kutoa majibu ya kutatua bila ya kutaja vyama. huyu amekuwa shabiki zaidi wa vyama, nina uhakika viongozi wengine hawangependa hali hiyo
 
Padre Baptiste Mapunda amesema ukweli unaotugawa makundi mawili 1. Wajinga hawakumwelewa 2. Werevu wamemwelewa. Mimi nipo kundi la pili. Ubarikiwe sana Padre Mapunda. Ni kweli kwa hali ilivyo hapa nchini wanahitajika viongozi aina ya Yahya Mbatizaji ili kuinusuru nchi
 
Uamsho mwingine huo.
Huyu padri mdini sana. Kwa kuwa mwenyekiti ni muislam ndio kaibuka. Alipokuwa mkapa alinyamaza kimya.
2015 utasikia huyu ni mbunge wa chadema
Hana tofauti na wale madevu wa Unguja.
Akitaka kuingia siasa si anamwona Mchungaji Msigwa?
Asitumie vibaya mimbari isiyo yake.
Huyu Padre ni chama gani?
Haya makanisa ndio yalianzisha chokochoko Rwanda watu wakauana kwa mamilioni.
chama cha uamsho
padri huyu pengine kasomeshwa kwa pesa ZA MOU. kweli shukrani ya punda ni machuzi

Kuna mtu alinambia kuwa "ukitaka kumfanya mwafrika asielewe mada basi iweke kwenye maandishi". Naamini wakuu hamkuisoma makala nzima mmeishia kushambulia title ya thread tu!!! USE YOUR HEADS GUYS, DO NOT USE YOUR HEARTS
 
Huyu Padre ni chama gani?

Hana chama anasema ukwei maana anajua ukweli humuweka binadamu huru, tena huru kweli kweli. Kwani katika mahubiri yake si amesema ukweli kuwa hali ya wananchi wazalendo ni mbaya!!! Kama hulioni hilo basi wewe ni mtoto wa kigogo pengine baba yako alikuwa mmoja wa wakurugenzi wa parastatals ambazo walikwiba au pengine uko ndani ya mfumo wa SSM hivyo huwezi jua kuwa kuna mtanzania hana chakula na kama akibahatika ni mlo mmoja kwa siku!!! Wewe kwenu si mmefuga mbwa halafu mnambakizia makambo au kumnunulia kile chakula special mfuko 50,000/---. Mtanzania huyu anatamani hayo makombo yenu lakini hapati!! Unalo neno jingine!!! Karibu!!
 
AMEONGEA UKWELI, hii nchi napelekwa kidini sasa wameamua kuchoma makanisa ,hao uamsho wanajulikana achana na kuchoma makanisa walichoma na matairi karibu na mlango wa polisi lakini hawaambiwi chochote cha kushangaza na wawakilishi wa smz kama raza na masoud wanautetea uamsho. HII NCHI WANATAKA KULIUA KANISA UKIONA PICHA WALIVOHARIBU KANISA NDIO UTAPATA JIBU KWA NINI PADRI KAFIKIA KUYASEMA HAYA

Ndiyo maana tunatamani Dr. Slaa awe japo one term president tu!!!!!! Mapadre wana hekima na wamesoma elimu ya ukweli kupita degree zetu za kawaida!!! Ukitaka kujua jimbo la Dr. Slaa lilikuwa maskini sana Karatu but sasa huduma za jamii ni juu mno, aliandika proposals mbalimbali na pesa ya miradi iliingia na ikatumika vizuri. He is a hero in his Karatu Land!!! Kuna lingine!!!! Tusiangalie udini tuangalie uwezo. Hapo tulipofikishwa kwa sasa tunahitaji moses, mkombozi!!
 
Yuko sahihi na hata sheikh mkuu anatakiwa kuyatamka haya kwani dukani tunaenda mapadri, wanajeshi, sheikh ,mwananchi wa kawaida na hakuna madaraja kwa huduma zaidi ya wanyonyaji na wanyonywaji.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom