CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,250
- 12,868
Kichwa cha habari chahusika...
Poleni sana wafiwa...
Source. Dailypost.ng
Poleni sana wafiwa...
Source. Dailypost.ng
Sijui ukweli wa hii habari lkn tegemea wakurupukaji waje wakuambie ni Freemason.
Ivi family members wa Psquare hawatakiwi kufa???
Naona tumekimbilia kuwahukumu kua ni masonic act,kweli kua celeb ni mzigo mzito na gharama sana.
Kwakua hamuwajui vizuri wanaijeria na wakongo.
»Wanatoa sana kafara katika kufanikisha mafanikio ya kimuziki,kina koffi,kina fally,werrason wameua sana wazazi wao.
»P-square walishamuondoa mama yao na sasa kafata baba yao.

sasa hivi watarudi kwenye chati
Kwakua hamuwajui vizuri wanaijeria na wakongo.
»Wanatoa sana kafara katika kufanikisha mafanikio ya kimuziki,kina koffi,kina fally,werrason wameua sana wazazi wao.
»P-square walishamuondoa mama yao na sasa kafata baba yao.
so wasingekuwa wanamuziki unauhakika mpaka leo wazazi wao wangekuwa hai na wenye afya zao??Kwakua hamuwajui vizuri wanaijeria na wakongo.