P Square wafiwa na baba yao

Sijui ukweli wa hii habari lkn tegemea wakurupukaji waje wakuambie ni Freemason.
 
Sijui ukweli wa hii habari lkn tegemea wakurupukaji waje wakuambie ni Freemason.

Mkuu... Ukweli huu hapa!
P-Square’s father passes onBy Omotola Filani on November 25, 2014@dailypostngr
Subcribe to Daily Post Newsletter

The father of Nigerian pop singers, Psquare, is dead.

The late Pa-Okoye passed away on Monday, 24 November.

"It is believed that he collapsed when he was about-going for a physiotherapy session,-after-recently undergoing a successful knee surgery"
 
Mamtu yataanza Frumason utafikiri kwao p hawafagi mfyuuuuuuuuy ole wake mtu aseme ntamuescrow
 
Kwakua hamuwajui vizuri wanaijeria na wakongo.
»Wanatoa sana kafara katika kufanikisha mafanikio ya kimuziki,kina koffi,kina fally,werrason wameua sana wazazi wao.
»P-square walishamuondoa mama yao na sasa kafata baba yao.
 
Hujui usemalo. Kwa hiyo kwenye familia zao mtu asife?
 
Watanzania tuna ujinga mwingi ndio maana hatuendelei! Yani P S hawatakiwi kufiwa? ndio maana matangazo ya waganga hayaishi na watu wana tapeliwa kila siku!
 
Attachments

  • 1417096846318.jpg
    1417096846318.jpg
    50.1 KB · Views: 878
Kwakua hamuwajui vizuri wanaijeria na wakongo.
»Wanatoa sana kafara katika kufanikisha mafanikio ya kimuziki,kina koffi,kina fally,werrason wameua sana wazazi wao.
»P-square walishamuondoa mama yao na sasa kafata baba yao.

hata kala jeremiah aliimba... VIJANA WANASHINDIA STORI ZA FREEMASON

vijana achen mawazo mgando
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom