P. Funky akimbia kupima "ngoma"

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
PRODUZA wa musiki wakizazi kipya nchini paulmathew a.k.a Pfunky hivi karibuni amedaiwa kukimbia vipimo vya vvu
tukio hili lilitokea mjini mwanza katika ziara ya kuwasaka washiriki wa bongo star search.mmoja wa majaji aliokuwa nao siku ya tukio waliambizana kwenda wote kwenye kupima ""NGOMA"" ikiwa ni moja ya kuhamasisha washiriki wa shindano hilo kupima ///// kwa hiari yao. baada ya kuafikiana waliongozana pamoja hadi sehemu maalum ya kupimia na wakiwa katika eneo hilo zoezi hilo lilianza mara moja wakati issue ikiendelea gafla majani aliingia mitini huku akiwwa ameweka simu yake sikioni akielekea pembeni kana kwamba anaongea na simu kumbe ndio anaanza,..majaji wenzake walipokamilisha walianza kumtafuta bila mafanikio na kuamua kuondokawakiwa na majibu yao sirini na mkononi....mara walipofika hapo walimkuta pfunky akiwa amesimama pembeni huku akiongea na mtu asiyefahamika kwa njia ya simu alipomaliza mmoja wa majaji alimtupia swal la mkononi kulikoni hukupima ....akajibu""NILIPIGIWA SIMU NA MSHIKAJI WANGU MMOJA NIKAAMUA KUJA KUONGELEA HUKU HOTELINI....alipotafutwa kwenye simu pfunky alisema mi sikukimbia ila nilikuwa na maongezi na mtu mmoja muhimu sana kwenye shuguli zangu....
Mi niko safi sina NGOMA...............
Tuna mtakia kila la kheri PFUNKY siku nyingine ashiriki na wenzake
 
That is a very personal decision, na kama hataki aseme tu, tutamuelewa.Na kukataa haina maana una ngoma.

Kama ni kweli sababu ilikuwa simu simu kashazungumza nayo, aende kupima.

Tupac alikataa kupimwa ngoma akafa na risasi.
 
hivi ukishapima na kupata majibu ndio unaanza kuishi kwa matumaini eheee? unatakiwa uwe na matumaini kabla hujapima na hivyo hakuna haja ya kupima kwa nguvu
 
Wala si kosa wala ajabu mtu kupima ngoma! Ni uamuzi mzuri.

PFunky amefanya vyema kuliko kukatisha tamaa kwa kukimbia majibu au kuzimia akipata majibu!!! Sababu ni nyingi lakini hakuwa na haja ya kufuata mkumbo kwasababu ya promosheni au kampeni moreover vijana wengi wasanii wanaishi katika mazingira hatarishi na hivyo suala la kupima soo linakuwa gumu kama nini

--- testing is only useful if councelling was done properly --inaonyesha ushauri nasaha haukuingia

Kupima ukimwi ni jambo la hiari, linahitaji maandalizi sahihi

Maybe next time atakuwa tayari
 
Mara ya kwanza kupima, lazima presha inapanda presha inashuka.

Ila ukishapima mara moja tu, basi ujue nidhamu ya uoga inakuondoka.

Kila mara unataka kupima tena, na tena.

Nimegundua kwenye kupima jinsia ya KIKE huwa hawana nidhamu ya uoga hata kidogo
 
Mara ya kwanza kupima, lazima presha inapanda presha inashuka.

Ila ukishapima mara moja tu, basi ujue nidhamu ya uoga inakuondoka.

Kila mara unataka kupima tena, na tena.

Nimegundua kwenye kupima jinsia ya KIKE huwa hawana nidhamu ya uoga hata kidogo
Vile vipimo havizoeleki hata itokee umepima january hii ikifika February mda wa kupima lazima mapigo ya Moyo yaongezekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom