Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,906
- 22,039
PRODUZA wa musiki wakizazi kipya nchini paulmathew a.k.a Pfunky hivi karibuni amedaiwa kukimbia vipimo vya vvu
tukio hili lilitokea mjini mwanza katika ziara ya kuwasaka washiriki wa bongo star search.mmoja wa majaji aliokuwa nao siku ya tukio waliambizana kwenda wote kwenye kupima ""NGOMA"" ikiwa ni moja ya kuhamasisha washiriki wa shindano hilo kupima ///// kwa hiari yao. baada ya kuafikiana waliongozana pamoja hadi sehemu maalum ya kupimia na wakiwa katika eneo hilo zoezi hilo lilianza mara moja wakati issue ikiendelea gafla majani aliingia mitini huku akiwwa ameweka simu yake sikioni akielekea pembeni kana kwamba anaongea na simu kumbe ndio anaanza,..majaji wenzake walipokamilisha walianza kumtafuta bila mafanikio na kuamua kuondokawakiwa na majibu yao sirini na mkononi....mara walipofika hapo walimkuta pfunky akiwa amesimama pembeni huku akiongea na mtu asiyefahamika kwa njia ya simu alipomaliza mmoja wa majaji alimtupia swal la mkononi kulikoni hukupima ....akajibu""NILIPIGIWA SIMU NA MSHIKAJI WANGU MMOJA NIKAAMUA KUJA KUONGELEA HUKU HOTELINI....alipotafutwa kwenye simu pfunky alisema mi sikukimbia ila nilikuwa na maongezi na mtu mmoja muhimu sana kwenye shuguli zangu....
Mi niko safi sina NGOMA...............
Tuna mtakia kila la kheri PFUNKY siku nyingine ashiriki na wenzake