Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,009
- 7,306
nje ya uzuri hana future yoyote.....usinitajie fashion designer kama utataja hiyo nioneshe hata vazi moja alilowaho designing......angerudi shule naimani mama ake na baba ake wasingeshindwa kumtafutia connection ya kazi kwa viongozPaula ni binti atakayekuja kuwa na maisha mazuri Sana , probably ndo atakuwa nguzo kuu ya P-Funk majani, mwanao ni mwanao tuu, kama Baba lazima usimamie ubaba wako to the end...majani bado ana akili za kitoto...