financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,127
- 40,685
Mkuu umeona bora ujibetie zako mkuu kuliko kufatilia akina Majani hao😀DAAH YANI HUWEZI AMINI JANA REAL MADRID AMETUCHANIA MIKEKA WATU KIBAO
Mkuu umeona bora ujibetie zako mkuu kuliko kufatilia akina Majani hao😀DAAH YANI HUWEZI AMINI JANA REAL MADRID AMETUCHANIA MIKEKA WATU KIBAO
KWELI MKUU NA TUNAPASUKA BALAA KWENYE KUBETMkuu umeona bora ujibetie zako mkuu kuliko kufatilia akina Majani hao😀
Kwani sh. ngapi kwa sisi wengine ambao ni weupe na hutupendi kama Majani?Ila majani yuko sexy jamani,sijui ni mimi tu?yaaani vile anaongea na ule ununda anasound sooooooo sexy
Sipendagi wanaume weupe ila majani ni 🔥🔥
Hata bure nampa dadeq!
Kama ni mweupe huuziwi wala hupati bureKwani sh. ngapi kwa sisi wengine ambao ni weupe na hutupendi kama Majani?
Okay! tutaongea,nahisi hatutashindwana.Kama ni mweupe huuziwi wala hupati bure
Hii offer ni kwa Majani tu
Kushindwana ni given kama wewe sio MajaniOkay! tutaongea,nahisi hatutashindwana.
mwenzio akulongile muulike buyeeKushindwana ni given kama wewe sio Majani
Mnaboa kinyama wakabilamwenzio akulongile muulike buyee
Kikubwa mazungumzo yawe na TIJA,mi ni optimistic na ni mbadilishaji wa matokeo muda wowote ule pasipo matarajio.Kushindwana ni given kama wewe sio Majani
Hii haifanyi kazi kwangumi ni optimistic na ni mbadilishaji wa matokeo muda wowote ule pasipo matarajio.
asee!Paula ni binti atakayekuja kuwa na maisha mazuri Sana , probably ndo atakuwa nguzo kuu ya P-Funk majani, mwanao ni mwanao tuu, kama Baba lazima usimamie ubaba wako to the end...majani bado ana akili za kitoto...
Wewe ndio unachekesha. Kama una watoto huwezi kuchekelea yanayotokea kwa mtoto wa mtu mwingine sababu wako hujui atakuaje. Kila mzazi mwenye akili timamu anamuombea mwanae mema.Mnachekesha sana watu wa mitandaoni
Hivi mmefanikiwa kuwa na watoto kweli?