Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,007
- 5,446
Chaajabu hawajavaa Kama paula was kajala,🙄Hao mabinti wanapendeza sana kusema kweli....mpaka raha.
Chaajabu hawajavaa Kama paula was kajala,🙄Hao mabinti wanapendeza sana kusema kweli....mpaka raha.
Wamevaa vizuri… NimependaView attachment 1913876
Mabinti hawa wamekaribishwa katika event ya siku tatu ya Dolce and Gabana na baba yao ameamua kuwapeleka. Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa kwa mapacha na mama yake ni mwingine.
Wa mbele ni Chance ana miaka 15, Mapacha ni Dalilah na Jessie James miaka 14.
Na ana mwingine wa kiume ana miaka 21 sahv kafanana nae sanaaHuyu kijana ana 30 sasa hivi
Jigga na P Diddy wote ni 1969 na wanatofautiana mwezi mmoja tu by the way huyu msela kaanza kukamata pesa kitambo sana na ni moja Kati Watu wajanja sana
Kweli kabisa udogo nnaosemea hapa ni kimuziki maana tangu kitambo Didy alishaanza kuwa Mogul katika muziki maana alikuwa pale uptown Records kama A&R excutive kabla ya baadae kufukuzwa na kuunda label yake ya badboy Records wakati ambao Jay Z bado anahangaika kutoka kwenye maisha ya kigangster na kuwa mwanamuziki tayari Combs alishakuwa na jinaJigga na P Diddy wote ni 1969 na wanatofautiana mwezi mmoja tu by the way huyu msela kaanza kukamata pesa kitambo sana na ni moja Kati Watu wajanja sana.
Huyu dogo wa miaka 25 anaitwa king Combs ni msanii naeAnawatoto wakubwa hao mapacha wana kaka yao...halafu kuna kijana hakosi 25 au 26 ndio mtoto wake wa kwanza diddy
Kumbe mjuba ule mstari wa kusema mkaijaze dunia ameutendea hakiNa ana mwingine wa kiume ana miaka 21 sahv kafanana nae sanaa
Yaani duniani kila mtu na mtu wake, jlo apinduwi kwa Ben jamaa alimpiga chini vibaya, sasa sijui jlo kaenda ku revenge.Mama karudisha mpira kwa kipa duuh yule Raridgo kampiga chini kweli mapenzi mabaya
🤣 itakuwa yaani mie huyu niwe na hela zangu nibwagwe kizembe alafu bado nirudishe majeshi aaah wapiYaani duniani kila mtu na mtu wake, jlo apinduwi kwa Ben jamaa alimpiga chini vibaya, sasa sijui jlo kaenda ku revenge.
Dah nimecheka sana aiseeKwa maisha yetu haya ugali mkubwa na dagaa mchele wa jelo maji ya kunywa kwenye jagi unazeeka haraka sana
Halafu mshua bado anaonekana jank tena tozi 🤣🤪 anafaa kuwa baba mkwe
😂 😂 😂 😂una balaa wewe51 uwe na stress ya kodi kwenye chumba na sebule unaonekana 71.