Over drive button

mkuu inafuatana na gari, inaweza kuwa taa inawaka ila imekueleza bila kificho kuwa O/D OFF apo imezima, ila kwa gari inayoandika O/D bila ya kuongeza neno iyo ndo ina nature ya ukiweka O/D mwanga ukatokea uje iko on, ikiibonyeza mwanga ukazima ujue iko off.

taja gari ambayo iko hivyo mkuu......
 
Nilikuwa nimeshaanza kuelewa sasa mmenichanganya tena.........niendeshe taa ikiwaka O/D off au isiwepo hiyo taa.......?
 
Nilikuwa nimeshaanza kuelewa sasa mmenichanganya tena.........niendeshe taa ikiwaka O/D off au isiwepo hiyo taa.......?

Kuna mwingine aliyesema anataka jibu la sawa au si sawa basi, kwa jinsi wanavyotuvuruga na maelezo!
Kuna wengine waliotuongezea ufafanuzi kuwa inatofautiana gari na gari. Nyingine ukipress kitufe cha OD kwenye dashboard itajiandika OD, basi hapa ni kuwa overdrive yako iko on, kama hakuna neno OD kwenye dashboard basi iko off. Gari nyingine ukipress button kwenye dashboard pataandika OD/OFF, hapa utakuwa umeizima. Mafuta yanatumika zaidi ikiwa On na nguvu ya gari nayo inaongezeka.

Sijui atatokea mwingine wa kubangarua matofali yangu ya uelewa niliyoegesha yarabi....
 
O/D inalimit gari lisiende mwendo zaidi ya 3rd gear....... yaani hutumika katika miteremko mikali au mlima. Inapokuwa imewashwa maana yake gar inakuwa huru kuenda zaidi ya gear namba 3 yaani 4 na kuendelea......

Natumaini nimekusaidia kwa kiasi fulani:D

Technician njaa. Acha kupotosha umma!
 
Hiyo simpo Tu, ukiwa unaendesha gari sehemu ya tambalale na speed ya kawaida unaweza ukafanya jaribio...ibonyeze isome off then utaona jinsi Gia inavyobadilika then irudishe on uone gari jinsi inavyopumua
 
Kuna mwingine aliyesema anataka jibu la sawa au si sawa basi, kwa jinsi wanavyotuvuruga na maelezo!
Kuna wengine waliotuongezea ufafanuzi kuwa inatofautiana gari na gari. Nyingine ukipress kitufe cha OD kwenye dashboard itajiandika OD, basi hapa ni kuwa overdrive yako iko on, kama hakuna neno OD kwenye dashboard basi iko off. Gari nyingine ukipress button kwenye dashboard pataandika OD/OFF, hapa utakuwa umeizima. Mafuta yanatumika zaidi ikiwa On na nguvu ya gari nayo inaongezeka.

Sijui atatokea mwingine wa kubangarua matofali yangu ya uelewa niliyoegesha yarabi....

Sasa nitajuaje gari yangu ni ya off au on or vice versa.........inachanganya sana.......wayiiii.......mradi mwarabu bado ana visima.......potelea pote.........
 
Sasa nitajuaje gari yangu ni ya off au on or vice versa.........inachanganya sana.......wayiiii.......mradi mwarabu bado ana visima.......potelea pote.........

Taja aina ya gari lakini gari nyingi taa ikawaka ni kuwa iko on.
 
Taja aina ya gari lakini gari nyingi taa ikawaka ni kuwa iko on.

Ha ha.......nimefanya majaribio......nikikibofya kwenye kilima majirani wanadhani ni jet.......mi nawacheck tu.........
 
where is your point? Una umri gani mkuu? Pinga hoja kwa hoja siyo kuropoka huku huonyeshi nini unachokifahamu. Neno lenyewe kuandika shida.

Narudia tena wewe ni technician njaa!
Ni neno lipi sahihi kati ya TECHNICIAN na TECHNITIAN ????

Halafu kama, hujui ni vizuri kukaa kimya kuliko kuhadaa umma.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom