Over confidence ya wanaume wa kikurya inanivutia

acha kujidai unajua vitu ambovyo hujui lakairo na wenje ni wakuria tangu lini, mimi nipohapa lakairo investment ni muhasibu, usidanganyewatu kwa kujidai unaujua sana mkoa wa mara,mimi mwenyewe ni mjaluo.
 
acha kujidai unajua vitu ambovyo hujui lakairo na wenje ni wakuria tangu lini, mimi nipohapa lakairo investment ni muhasibu, usidanganyewatu kwa kujidai unaujua sana mkoa wa mara,mimi mwenyewe ni mjaluo.
Hakuna kabira linaitwa Wakuria Tanzania.

Kwahiyo una govi hujatahiriwa am sure 100%
 
Mi mgeni kweli mimi nipo maeneo ya butiama,buswege.butugur.sabasaba.kwa mkono huku kuhusu ujasir nadhan wanaume hawwana tofaut na wengne.washkaji wapo poa sana wanatoa tano kww mgeni ijapo wanapenda kilugha sanasana
 
Then kutahiriwa hapa wiki ilopita nliona maandalizi kwanza wanapiga ngoma za kienyeji na nyimbo na vigelegele mtaa mzima wanakua wanajua kuna jando kwa vijana wenyewe wakubwa teyar kama umri wa miaka kumi na saba nenda juu..na zawad watapewa ng"ombe ama nyingne na kutairiwa hakutakua na ganzi ngozi inakatwa chap.NIMEIONA KWA WAZANAK BDO KIDOGO NTAENDA KWA WAKKURY NA WAJALUO
 
Kitu Usichokijuwa ni bora ukae kimya wasiotahiri ni wajaluo, Wakurya wanatawaliwa tena bila ganzi na kwa wale wanaoishi ufukweni mwa Ziwa Victoria kama hujatahiriwa huruhusiwi kuoga upande wa wanaume na hata kama ulipotahiriwa ulilia pia marufuku kuoga upande wa wanaume.

Mkuu umenikumbusha mbali.ukitairiwa hospital ndo kabisa unaitwa mwanamke
 
then kutahiriwa hapa wiki ilopita nliona maandalizi kwanza wanapiga ngoma za kienyeji na nyimbo na vigelegele mtaa mzima wanakua wanajua kuna jando kwa vijana wenyewe wakubwa teyar kama umri wa miaka kumi na saba nenda juu..na zawad watapewa ng"ombe ama nyingne na kutairiwa hakutakua na ganzi ngozi inakatwa chap.nimeiona kwa wazanak bdo kidogo ntaenda kwa wakkury na wajaluo

wajaluo sahau na wala usiweke kwenye ratiba zako
 
Wakuu
nimekaa na wakurya sehemu mbalimbali, hawa watu wamenivutia kwa
confidence waliyonayo.

Sio waongeaji lakini wanajiamini sana wanapofanya jambo.

Hawa jamaa kila nilipokuwa nao karibu nilishuhudia wadada wengi
wakijipiga vikumbo kwa kuwatamani, hii ilinifanya nijione mdogo sana na
kutaka kujua kwanini wako hivyo?

kuna watu waliniambia hao jamaa wamezaliwa hivyo, wengine wanasema ni
urefu wao maana wengi wao ni warefu.

Wakuu naomba kujua kwanini hawa jamaa wako hivyo?

ujasiri bila hera mbwembwe tu. kwanza washamba hawajui kuvaa wako lafu sana afu madictator sana afu wahana weusi wakung'aa wamefubaa kumbuka mtoto wa kiume ukikuta ana uweus wa kung'aaa wee asikwambie mtu
 
Wanaume vijana wa kikurya huenda jando kuanzia miaka 12. Penis inakuwa imerefuka kiasi hata wakitoa gozi haisinyai sana.
Na kwa kuwa kichwa kinatengenezwa vizuri kinasaidia kumridhisha mwanamke.
Kwa kuwa wakurya ni musculars na wanakula natural food ni rahisi kuwaridhisha wake zao hasa wale ambao hawajakeketwa.
Mkurya anauwezo wa kufanya zaidi ya 3 kwa ubora ule ule.
Ulijari wa wakurya ulipelekea wanawake wa Kirangi.kinyiramba walipenda kuolewa na wakurya.
Ieleweke kuwa wanawake wa kirangi na kinyiramba hawaridhiki na mwanaume goigoi .Hii inatokana na vyakula vyenye mafuta ya asili wanavyokula( alizeti.ufuta.karanga maziwa samli)
 
Sina muda kubishana na mtu aliyekwenda sehemu kuoa tu halafu anajifanya anajuwa wakati hujui kitu.

Tarime na Rorya ilikuwa ni wilaya moja na jimbo moja na liliitwa jimbo la Tarime, wabunge wa kwanza wa jimbo jipya la Rorya ni Profesa Sarungi kupitia Ccm na Mabere Marando kupitia Nccr Mageuzi na halmashauri wamepata juzijuzi tu mpaka kukawa na mgogoro makao makuu yakae wapi kati ya Shirati na Utegi.

Wewe umekwenda sehemu kuoa tu hujui kitu muulize mkeo Abhasubi ni kina nani ndio atakupa tafsiri.

Usije kujidanganya Mmchame, Mmeru, mkibosho, Mmarangu na Mrombo kwamba ni watu tofauti hawa wote ni wachaga.

Achana nae huyo, mwishoe atakwambia wakine na wasweta nao ni wajaluo
 
Back
Top Bottom