Zing
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 1,767
- 470
Na sisi watu wa mjini tunakosea pale tunapodhani tunjua sana matatizo ya jamii nyingine. Ukienda ukauliza walimu na watoto wa hiyo hapo shida zao kutokana vipaumbele vyao nini watakwambia kwanza vitabu. walimu na zana na kujifunza. hilo darasa labda ni kero kipindi cha masika tu.
Inabidi tujue kufanya prority maana siku zote. Usije kuwa waziri ukasihi kujenga shule za matofali ndani wanafuzi hawana nyenzo. Tutazame vya muhimu.
unataka darasa lipendeze kuliko nyumba.
Inawezekana wanafunzi wa sehemu fulani kwao hata kukaaa chini sio issue.
Mfano Kabla ya kujenga darasa zuri inabidi mwalimu awe na sehemu nzuri ya kulala