Outside their Classroom ? in this era and age ? no, cant be true but then thanx to CCM ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Outside their Classroom ? in this era and age ? no, cant be true but then thanx to CCM !

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mag3, Apr 13, 2011.

 1. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  From IPP media

  primary school.jpg

  Standard Three pupils of Chinyarira Primary School in Nanyumbu District, Mtwara Region, while away the time outside their classroom, as captured by our correspondent yesterday. (Photo:Correspondent Happy Severine)

  Nanyumbu District ? Cant believe it ! Well, I guess the picture speaks for itself but wow ! The other astonishing thing is that in spite of it all, someone somewhere somehow still claims some legitimacy and will do anything to cling to power, how sad.
   
 2. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,224
  Likes Received: 7,346
  Trophy Points: 280
  50 yrs post colonial era! Yet the plan is on the way to spend millions to mark the day on December. I wonder why not spend the money to build schools. Perhaps someone can help me, are we celebrating the achievement or the failure to achieve.

  I have seen the worst in this country. A woman in 'labor pain' fighting for her life, she could not make it at dawn. The reason is simple, no transportation to district hospital 25 km away. 25km away!!
  Ironically there millions of Shs swindled by few covetous and avaricious with impunity, just to be given 90 days to weigh in if they are ready to relinquish titles, not to face the justice. Kidding me!Unfortunate some people are out with ululations, 'CCM inajivua gamba'
  It is so sad!
   
 3. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Talk is cheap. CCM leaders have been saying education is important, but they don't put money where their mouth is. Here is another classroom picture. This one is from Dar. Some of you might recognize the teacher and even some of the pupils.
   

  Attached Files:

 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  I don't see anything wrong in those pictures. The kids appear to be happy which suggests to me that they are content with what they have.

  Things have always been like that. Who among us hasn't seen something like that before? So nothing surprises me and nothing shocks me. In short, there is nothing wrong in those pictures.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Tatizo ni watu, serikali, au nyenzo za kujenga hayo madarasa? i don't understand which is which.
   
 7. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #7
  Apr 14, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,224
  Likes Received: 7,346
  Trophy Points: 280
  Katika ulivyotaja hakuna hata kimoja. Tatizo ni ulafi, uchoyo, kutojali na zaidi kutokuwa na dira ya taifa.
  Siasa ndiyo kazi hata kwenye taaluma na maendeleo. Hakuna kiongozi mwenye vision ya kuliendeleza taifa bali vision za ubadhirifu kwa faida ya familia zao.
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,481
  Trophy Points: 280
  Inabidi kumchukua Waziri wa Elimu na kumlazimisha afanye kazi katika "madarasa" hayo kwa mwezi mzima labda atapata akili ya kuhakikisha watoto wa Kitanzania wanakuwa na madarasa yenye hadhi inayostahili.
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  This is not rocket science...

  Kama wananchi wenyewe wanaishi kwene nyumba za udongo na kuezekwa kwa nyasi, sidhani kama utapata darasa lenye hadhi ya juu ktk maeneno hayo.

  Kama serikali haina fedha za kutosha, ni ndoto vilevile kuwa na miundombinu murua ya kielimu.

  Kama raia wenyewe ni dhaifu, kifikra na kimwili, ni wazi hawaezi kustushwa na mazingira mabovu yanayowazunguka.

  Kama una serikali dhaifu, isiyo na mipango, isiyowajibika, yenye 'thinkers' dhaifu..well u can expect everything to go wrong.

  Kama hakuna vifaa vya ujenzi maeneo husika (?) lol..

  Sasa swali bado nauliza ..which is which..hapo mwene makosa zaidi ni nani?
   
 10. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kha@!#
  Tanzania bwana! ukitaka kuona ujinga unaoendelea angalia comments za watu huku. Ivi kweli mtu aliyeenda shule anaweza kusema haya? Hizi comments ndio product za watu waliosoma mazingira ya namna hii! Totally hopeless...
   
 11. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Elimu ndio msingi wa maendeleo. Tutaimba na haya mengine yote, lakini elimu yetu ikibaki duni, na sisi tutabaki kuwa duni.
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Apr 14, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Aahahahahahahahahahaaaaaaa you totally, completely, and thoroughly missed the point. Poor thing....
   
 13. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Nyani Ngabu: You are correct, there is nothing wrong with the pictures. But there is something utterly rotten with the condition that gave birth to those pictures. Yes, there is nothing wrong with the pictures, but they tell an awful story. A story of near-complete neglect of the Educational Sector.

  You say that the kids appear to be happy. Of course kids always appear to be happy. Don't let that fool you. Their joy does not justify the injustice that is being committed against them. They are entitled to a decent education.

  Finally, you argue that things have always been like that. So, should we let them continue to be like that? What logic is this?
   
 14. N

  Nguto JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 280
  Wana JF msishangae. Hizi ndio sera za CCM. Mwaka 2015 tuchagueni CDM haya yatakuwa ndoto!!!!
   
 15. N

  Nguto JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 280
  Mmh! Something must be wrong with you if you dont see anything wrong with those pictures.
   
 16. N

  Nguto JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 280
  I totally agree with you. Baada ya dakika moja tu atarekebisha hiyo hali (of course kwa kuishinikiza serikali).
   
 17. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #17
  Apr 14, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,224
  Likes Received: 7,346
  Trophy Points: 280
  Ni rocket science kwa watu wa dunia ya tatu. Kama ulibahatika kuangalia 'state of union' Obama alieleza kwa kirefu sana tatizo la elimu kwa marekani, kupungua kwa ufaulu, umasikini unaotokana na elimu na ushindani kutoka nchi za Asia. Akaeleza mipango ya kuinua elimu kwa miaka 25 ijayo akitoa namba na mipango kamili kwa kuanisha nini kianze na kipi kifuate na kumalizia. Hiyo ni marekani yenye uwezo mkubwa sana lakini bado wanaamini kumkomboa mmarekani ni kwa njia ya elimu na si vinginevyo. Obama amepingwa kwa mambo mengi lakini hili la elimu si republican au tea party wote kimya.

  Angalia nchini mwetu, zaidi ya kusomewa tarakimu bungeni kuna mipango gani endelevu ya kutoa elimu bora na kwa muda gani(vision)? jibu ni hakuna. Jiulize utajengaje madarasa na kujivuna umeinua elimu kama wanafunzi wanashinda madarsani wakitongozana, kama shule hazina vitabu n.k. Kama kungeuwa na vision walimu wangeanza kuandaliwa miaka 10 kabla ya mpango ili wakati ukifika kila kitu kipo tayari.
  Leo kuna wanafunzi wengi hawaendi high school kwasababu idadi imekuwa kubwa kuliko, hapo kuna vision.!
  Lakini jiulize kwanini ujenzi wa madarasa umekuwa ni sehemu ya kampeni za uchaguzi na baada ya hapo kimya? Je wanafunzi hapo pichani juu wamekosa madarsa kwasababu eneo lao halina wapiga kura au.!

  Ukitaka kumuondoa mtu kwenye nyumba za nyasi mpe elimu. Nilikotoka nyumba za nyasi ni nadra kwasababu kuna aliyewaonyesha kuwa elimu ni ukombozi hata kama huna rasilimali za kutosha, tena kwetu ardhi ni ugomvi. Kwahiyo hao wananchi wa masasi hawatatoka katika nyumba na madarasa ya majani kwasababu wamesusiwa kimipango au kuhamasishwa ili wajiletee elimu.Wanahamasishwa kujenga ofisi za chama na kata.

  Unaposema serikali haina pesa,inabidi nicheke kidogo. Inapata wapi pesa za kujenga nyumba za wabunge Dodoma na ofisi huko majimboni?
  Inapata wapi pesa za kuunda tume tusizojua matokeo yake? inapata wapi pesa za kulipa richmond milioni 150 kwa siku bila kufua umeme? Inapata wapi utayari wa kulipa bilioni 100 Dowans? Inapata wapi pesa za kununua ndege ya rais huku waziri mkuu wa uingereza akisafiri na commercial airline? inapata wapi pesa za kuwalipa watu 320 wanunue mashangingi yenye thamamani ya millioni 200 kila moja? yaani shangingi 1 linaweza kujenga shule 7 zenye thamani ya milioni 30.
  Inpata wapi pesa za kuendesha ofisi ya bunge Dodoma na ndogo Dar, waziri mkuu Dodoma na ndogo Dar, Ikulu Dodoma na nyingine Dar, kwa mantiki gani. Inapoteza kiasi gani bila kujua (rejea CAG) ripoti.

  Hakuna kitu kinaitwa matatizo ya vifaa vya ujenzi hata siku moja, kama pesa zipo vifaa hivyo vitafika. Nimewahi kwenda milima ya uluguru kileleni na kule upareni kuna shule nzuri sana, nyumba za kuishi nzuri sana n.k.

  Serikali kama muundo hauna matatizo, tatizo lipo kwa watendaji wa serikali ambao nathubutu kusema hawajui dira ya maendeleo ya kumkomboa mwananchi. Wao maisha yao ni kufikiri jinsi ya kukwapua na kujenga mahekalu wakiwa na uhakika watoto wao watasoma nje au kwenye shule bora. Wizi wote unaouona ni uchoyo, ubinafsi na roho zisizojali. Watoto wao wanapata nafasi zote za serikalini au bungeni si kwasababu hawana uwezo bali walipata fursa ambayo mtoto wa nanyumbu hakuipata. Na wanajua kuwa njia rahisi ya kumtawala mnanyumbu ni kuwaacha watoto wao kwenye nyasi.

  Kama unadhani si kweli nakuomba unipe vision ya elimu Tanzania katika miaka 10 tu ijayo! kama ipo au umeisikia.
  Kwa swali lako la mwisho, (1) Serikali inapesa (2)Hakuna kitu kinaitwa uhaba wa vifaa(3)uchoyo na ubinafsi ndio umetamalaki miongoni mwa viongozi (4) Serikali haina vision ya kumsaidia asiyejitambua na hivyo asiyejitambua hajui kuwa hajitambui na hata tambua kwasababu hana mtambuzi.
   
 18. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #18
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  ndio huku huku ambako watu huwaambii kitu kuhusu CCM yajenga nchi. Aibu kwa kaka dada na wazazi wao ambao kila kukicha hawaoni kuwa CCM ni tatizo la maendeleo yao
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Apr 14, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Some people failed to detect the whiff of sarcasm in what I wrote above.
   
 20. j

  j4marunda Member

  #20
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  I think sometimes we should like down the people around! before blame government what is the role of wananchi there?
   
Loading...