Our Queens existed but the funny thing is our precious lake in Africa is named after Queen Victoria

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
51,885
2,000
1572571192011.jpeg
Nefertari, also known as Nefertari Meritmut, was an Egyptian queen and the first of the Great Royal Wives of Ramesses the Great. Nefertari means 'beautiful companion' and Meritmut means 'Beloved of [the goddess] Mut'. She is one of the best known Egyptian queens, next to Cleopatra, Nefertiti, and Hatshepsut.

Zewditu was Empress of Ethiopia from 1916 to 1930. The first female head of an internationally recognized country in Africa in the 19th and 20th centuries, and the first empress regnant of the Ethiopian

Empress Menen Asfaw was the Empress consort of the Ethiopian Empire. She was the wife of Emperor Haile Selassie.


Nandi was a daughter of Bhebhe, a past chief of the Langeni tribe and the mother of the famous Shaka, King of the Zulus.
 

niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,598
2,000
Ndege zote zimeshapewa majina na majina hayo yanahusu mtu mmoja. Sasa unalaumu aliyetoa majuina ya maziwa? Sisi hatukuwa na ramani hivyo wachoraji walihitaji jina na wakapewa hilo.
Baada ya uhuru tulikuwa na uwezo wa kubadili majina kama alivyofanya Idd Amin dada akabadili maziwa yake yote mawili na ikatoka kwenye mtandao.
Je, kwanini Lake Victoria tulishindwa kukaa East Africa na kuamua jina moja. Tulikuwa na majina tofauti kama Nyanza, Rweru na mengine ambayo sijui. Kwanini viongozi wetu hawakupendekeza?

Kuna mambo tunalaumu wavumbuzi au those who put the our continent in the map bila kujiuliza upi mchango wetu.

Tulikuwa na watemi, je hawa waliplay role ipi kuhakikisha majina ya sehemu zetu yanadumu.
 

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
1,022
2,000
Ndege zote zimeshapewa majina na majina hayo yanahusu mtu mmoja. Sasa unalaumu aliyetoa majuina ya maziwa? Sisi hatukuwa na ramani hivyo wachoraji walihitaji jina na wakapewa hilo.
Baada ya uhuru tulikuwa na uwezo wa kubadili majina kama alivyofanya Idd Amin dada akabadili maziwa yake yote mawili na ikatoka kwenye mtandao.
Je, kwanini Lake Victoria tulishindwa kukaa East Africa na kuamua jina moja. Tulikuwa na majina tofauti kama Nyanza, Rweru na mengine ambayo sijui. Kwanini viongozi wetu hawakupendekeza?

Kuna mambo tunalaumu wavumbuzi au those who put the our continent in the map bila kujiuliza upi mchango wetu.

Tulikuwa na watemi, je hawa waliplay role ipi kuhakikisha majina ya sehemu zetu yanadumu.
Ninasikia walishindwa kubadilisha jina kuna kifungu cha sheria cha miaka 500 ambacho mababu zetu walitia dole gumba.
 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,199
2,000
Kokaya getegete totamanile le Victoria.

Kwenuko, mang'ingwana ga Kayenze galemana ye neyo Nyanza.

Nolo gokwiza mu Oysterbay, mang'ingwana genago gohaya geke, "tojage konyanza tokalole le Nyanza jing'we, kongono obese tole na Nyanza ha Kayenze. Towelwa geke, he Nyanza ya kong'wani ele Nyanza gete gete".

Kwenuko banamhala noo baniisale bamanile Nyanza, batamanile Victoria.
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
51,885
2,000
Sisi wasukuma hatujui hilo jina victoria tunaita nyanza, hilo ni la vitabuni na waswahili, katika lugha ya kisukuma tunaita nyanza.

The lake was renamed Lake Victoria after Queen Victoria by the explorer John Hanning Speke, in his reports—the first Briton to document it. (It has since been recognized that the native guides used the name Lake Nyanza to describe it to him.) Speke accomplished this in 1858, while on an expedition with Richard Francis Burton to locate the source of the Nile River.[7][8] This expedition was financially sponsored by the Royal Geographic Society.
With a surface area of approximately 59,947 square kilometres (23,146 sq mi),[9][10] Lake Victoria is Africa's largest lake by area, the world's largest tropical lake,[11] and the world's second largest fresh water lake by surface area after Lake Superior in North America.[12] In terms of volume, Lake Victoria is the world's ninth largest continental lake, containing about 2,424 cubic kilometres (1.965×109 acre⋅ft) of water.[10][13]
Lake Victoria occupies a shallow depression in Africa. The lake has a maximum depth of between 80 and 84 metres (262 and 276 ft)[10][13] and an average depth of 40 metres (130 ft).[14] Its catchment area covers 169,858 square kilometres (65,583 sq mi).[15]The lake has a shoreline of 7,142 kilometres (4,438 mi) when digitized at the 1:25,000 level,[16] with islands constituting 3.7 percent of this length.[17] The lake's area is divided among three countries: Kenya (6 percent or 4,100 square kilometres or 1,600 square miles), Uganda (45 percent or 31,000 square kilometres or 12,000 square miles), and Tanzania (49 percent or 33,700 square kilometres or 13,000 square miles).[18]
 

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,323
2,000
Mmepewa uwezo wa kuipa majina miradi yenu, yote mmeiita Nyerere!.

Acha tuendelee kuiita kizungu ya zamani jina halitokei mara mbili!.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom