joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
MY TAKE: Karibuni Tanzania mjionee jinsi kampeni za uchaguzi zinavyofanyika kistaarubu, hata huwezi kujua kama kuna uchaguzi October.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hahahaha, hahahaha, Sisi sio KDF, tukiamua kuingia Msumbiji ndani ya mwezi mmoja tunamaliza mchezo.
Bwahaha!!jamaa keshaandaliwa huyoHahahaha, hahahaha, Sisi sio KDF, tukiamua kuingia Msumbiji ndani ya mwezi mmoja tunamaliza mchezo.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mbona Alshabab walikua wanaweka picha za wanajeshi wa KDF waliowauwa ktk mitandao, waambieni waweke picha tuone.Bwahaha!!jamaa keshaandaliwa huyo
North korea of east africa
Mbona hakutangaza siku ile ile au siku hta ya pili basi...Mbona Alshabab walikua wanaweka picha za wanajeshi wa KDF waliowauwa ktk mitandao, waambieni waweke picha tuone.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mimi ninamuunga mkono Oscar Sudi, Hakuna kuomba msamaha, wewe Je?Mbona hakutangaza siku ile ile au siku hta ya pili basi...
Keshapewa maelezo hyo km vile alivyopewa ummy mwalimu aache kutamgaza corona..
"North korea"
Km ni jiwe si angelimteka aua wasemaje?Mimi ninamuunga mkono Oscar Sudi, Hakuna kuomba msamaha, wewe Je?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app