Our learned brother Tundu Lissu in fluent English

Simba wa Yuda anaunguruma!

Anatema madini muhimu sana kuhusu katiba hii inayotugharimu.

Majibu aliyojibu kuhusu kinachoitwa vita ya rushwa na ufisadi, ni majibu yanayoonyesha yuko smart kiasi gani kichwani.

Ni kweli huwezi kusema unapambana na rushwa huku Bunge,Media na Wanasiasa/whistleblowers umeviziba midomo.

Vita ya aina hii inaelewaka na kushangiliwa na watu wenye uelewa mdogo tu wa mambo.

Wajinga hawawezi kmuelewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom