Our education system makes the majority of us believe that we are stupid

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1611602736064.png
 
Elimu ya enzi za mkoloni ilikuwa na lengo la kuandaa washiriki wa mapinduzi ya kwanza ya viwanda. Kwa sasa tuko kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda, mabadiliko yako kwenda na wakati.
 
Mh, Albert he might be true, but its implications are great! Basi kama ni hivyo tusiwasumbue watoto kusoma masomo as it is today, tuwaache kila mmoja aende kwenye "genious" line yake!

Special and General theory of Relativity. WARPING OF SPACETIME. sijawahi kui- conceptualize! What is time? Eti time can go slowly or faster....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom