Our Culture

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,329
23,873
Wanajamii, natanguliza shukrani kwani kwa maswali yote niliyowahi kuuliza sikukawia kupata majibu mazuri na yenye uzito..
Leo nimekuja na jipya:
In a few weeks we will be having our cultural week in college. As Tanzanians, we are expected to come up with a few things to represent our culture. Some of them being:
1. Food (At least hii nimesema machalri na nimeshawapa recipe..imebaki kupika tu!!!)
2. Clothes (Sijui vazi linalomtambulisha mtanzania ni lipi kwa hakika, at least dada zangu nimewasikia wakiongelea vitenge!)
3. Music/Traditional songs: Kwa makabila yetu 119, ni traditional song gani inamtambulisha Mtanzania??Nasindwa..
In short, nimechanganyikiwa on what really is our culture?
Naombeni msaada wenu wa mawazo..
Nawasilisha!:confused:
 
First of all you should emphasize cultures, and not culture.

It is not like we are rooted in undisputed homogeneity.
 
So what cultures of Tanzania should I emphasize!
NB: Brother, with all love and honest, please remove your quote!!!
 
Wanajamii, natanguliza shukrani kwani kwa maswali yote niliyowahi kuuliza sikukawia kupata majibu mazuri na yenye uzito..
Leo nimekuja na jipya:
In a few weeks we will be having our cultural week in college. As Tanzanians, we are expected to come up with a few things to represent our culture. Some of them being:
1. Food (At least hii nimesema machalri na nimeshawapa recipe..imebaki kupika tu!!!)
2. Clothes (Sijui vazi linalomtambulisha mtanzania ni lipi kwa hakika, at least dada zangu nimewasikia wakiongelea vitenge!)
3. Music/Traditional songs: Kwa makabila yetu 119, ni traditional song gani inamtambulisha Mtanzania??Nasindwa..
In short, nimechanganyikiwa on what really is our culture?
Naombeni msaada wenu wa mawazo..
Nawasilisha!:confused:

There is nothing specific as Tanzanian culture. Kifupi itabidi uchague kutoka kabila chache uonyeshe umati.
 
Dress -masai, wasukuma, wabarbaig, wanyamwezi wachagga..etc

Food- ugali, nyama, maziwa, wali, urojo, etc

Family Order- father is everthing, and is a king always right

Heros- Girls who are married, Boys with many cows, misuli (know how to fight) etc

Politics- CCM and invisible tribal leaders
 
So what cultures of Tanzania should I emphasize!
NB: Brother, with all love and honest, please remove your quote!!!
Do you mean my signature?

Why should I remove it? Who died and made you the omnipresent Ottoman ombudsman who obliterates opposing opinions and gave you the authority to determine what is suitable and what is not as my signature? What else are you going to attempt to control, the color of my underwear?
 
Dress -masai, wasukuma, wabarbaig, wanyamwezi wachagga..etc

Food- ugali, nyama, maziwa, wali, urojo, etc

Family Order- father is everthing, and is a king always right

Heros- Girls who are married, Boys with many cows, misuli (know how to fight) etc

Politics- CCM and invisible tribal leaders
Dress: ungenipa dressing style ya wasukuma, au wachagga, any kutoa wamasai! ningeshukuru sana..
Food: Nataka food unique...inayopikwa Tz peke yake!??
Hujanipa music..
 
sasa unataka upewe nini? mdau hapo juu kakupa hint, kafanye homework mwenyewe.

Wewe kweli mtanzania? Unafahamu aina ngapi za ngoma zilizopo TZ?
 
Mazee,

Kuna wimbo mmoja wa reggae unaitwa "Joker Smoker"

Jamaa alikwenda kijiweni, akakuta watu wana smoke.

Akaomba kiberiti, akapewa.

Akasema, you know what, I forgot my rizzla, washkaji wakasema hamna tabu, wakampa rizzla.

Akajipapasa na kusema tena, unajua nimesahau hata msokoto wenyewe washkaji, kama mna msokoto mnisaidie.

Watu wakamwambia si ungesema tangu mwanzo kwamba you are just a joker, not a smoker.

Ndiye huyu mshkaji wetu.

Joker smoker.
 
Dress: ungenipa dressing style ya wasukuma, au wachagga, any kutoa wamasai! ningeshukuru sana..
Food: Nataka food unique...inayopikwa Tz peke yake!??
Hujanipa music..

Kaka wasukuma wanavaaa kitu kinaitwa Ngobo lubega..sasa sijui uko linchi gani na nani atakufunga hiyo Ngobo Lubega..au wanavaa kama Batambi(ni mtu ambaya ameshinda kwa kuua wamasai kwa jina jingine wanaitwa bashosha mangombe si unajua tena huko Ngombe ndo ngao yetu)wasichana wa kisukuma hapo kaka sijui..

Nimechangia maana nimekaa sana huko hasa kiya kwa bashosha mangombe wenyewe..

chakula si maugali mtu wangu na Pilau?mengine wachanganyie tu si unajua wewe msomi bwana mpaka uambiwe yote wakati key umepewa tena bomba sana tuuu..
 
Kaka umenifurahisha hapo mwisho!!!
Ila ungenielezea hiyo nguo ikoje au atleast inavaliwaje!!!!
shukrani!!!1
 
Food Culture
Makande kwa wapare nafikiri ni unique duniani

Loshoro kwa wamasai nafikiri ni unique duniani

Urojo kwa wazenj nafikiri ni unique duniani

Nyama choma nafikiri ni unique duniani (design ya kachumbari etc)
 
Dress culture

Lubega wamasai, Ngozi wabarnaig, etc angalizo kuna tofauti za nguo wakati wa shughulu maalum mfano wedding, harvest etc ni mambo unique sana duniani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom