Otis na kazi ya kuokoa watu ndani ya elevator zilizokwama,ni kigugumizi....

jameeyla

Senior Member
Aug 12, 2011
119
29
hivi umewahi kukwama kwenye mojawapo za elevator ambazo zinamilikwa na OTIS halafu ukapiga simu yao??shughuli inakuwaje katika kuja kutolewa humo ndani,,,mimi nafikiri pia serikali iangalie majengo ambayo yameweka huduma hizi kwani kuna matukio mengi ya hatari ambayo taarifa ama hazifiki katika vyombo husika,,haswa katika majengo ya kuishi watu hapo kariakoo..
 

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,390
4,450
Kuna LIFT zingine ukiingia network zote za simu zinakata.

hivi kuna Lift zinaruhusu m2 kutumia simu akiwa ndani?
 

jameeyla

Senior Member
Aug 12, 2011
119
29
yaani automatically ukiingia kwenye lift network inakata mbaya zaidi umeme ukatike halafu jengo lisiwe na genarator na kengele ya dharura haipigi utazimia mwenyewe
 

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,770
6,521
hakuna sehemu ina lift mbovu kama chuo cha usimamizi wa fedha kwa ambaye alishawahi fika chuoni hapo nadhani hatakuwa mgeni wa ninachosema lift ya hapo kwanza haisimami floor ya 1 mpaka 4 ukiwa unaiita ije ushuke haifanyi kazi mpaka ubonyeze kitufe cha kupandisha.

pia unaweza kubonyeza floor ya 5 yenyewe inakushusha ya 7 kweli kabisa upande wa lift ni tatizo tunalolilea..mami floor ya 1 mpaka 4 ukiwa unaiita ije ushuke haifanyi kazi mpaka ubonyeze kitufe cha kupandisha.

pia unaweza kubonyeza floor ya 5 yenyewe inakushusha ya 7 kweli kabisa upande wa lift ni tatizo tunalolilea..
 

Ami

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
3,112
2,469
yaani automatically ukiingia kwenye lift network inakata mbaya zaidi umeme ukatike halafu jengo lisiwe na genarator na kengele ya dharura haipigi utazimia mwenyewe
Unaweza ukafa kabisa.Mle ndani inakuwa giza kama kaburini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom