Mi naomba tupunguze hasira watanzania wenzangu juwajadili watu hawa wawili wenye dhamana ya ulinzi na usalama NDANI ya nchi yetu: Mkurugenzi wa TISS Othman Rashid na IGP Said Mwema.
Badala ya kujadili visasi, mi naomba tujadili kwa nini hawa watu wasifukuzwe kazi zao kwa maandamano nchi nzima na migomo ya kazi za kiserikali na za watu binafsi. Aliyewaandika kazi keshaambiwa awafukuze kazi watu hawa mara nyingi lakini maneno hayo anayapuuza ndiyo maana bado wapo kazini hadi leo pamoja na kushindwa kwao kazi.
Hawa watanzania wawili Mkurugenzi wa TISS Othman Rashid na IGP Said Mwema hawafai hata kuongoza ki-SME cha watu watano. Wanafanya nini katika kazi kubwa walizopewa na Rais Kikwete?
Ndugu zangu mi naomba tujadili kuwaondoa hawa watu katika nafasi zao; tena sio kesho, bali leo....