Othman bosi wa usalama wa taifa na jaji mkuu othman chande ni ndugu

Status
Not open for further replies.
Bana usilete issue zilizopitwa na wakati-Hawa watu si ndugu bana, mmoja ame-originate Arusha na mwingine Tanga-so toa habari yako ya kizushi

Acha ubishi kaka, i can assure you hawa watu ni ndugu wa mjomba na shangazi, yaani ni ma cousins. ambaye hataaki kuamini aache lakini habari ndo hiyo. na juzi huyo judge mkuu alikuwa tanga kwao hapo chumbageni sijui kutambika au kutoa sadaka, i dunno, ila usiku kucha hajalala na police wamekesha wakilinda nyumba ambayo hayumo lol. kumbe hata wasomi wana vituko hivi.
 
Lakini jamani kikubwa na cha msingi kuangali
1. Je ana qualifications za kuwa CJ (Ndiyo/Hapana) Ndiyo
2. Ataweza ku-perform. Hilo tutamfanyia evaluation akisha fanya kaZI walau miezi sita na kuendelea
Mimi naamini ataweza kufanyakazi yake vizuri licha ya undugu pengine kuliko waliomtangulia Jaji A. Ramadhani, Jaji B. Samatta etc
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom