OTES: Shule kutoandikwa ya Msingi au ya Sekondari, unazijuaje?

Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,306
3,550
Wadau alafu ukiwa unaomba shule mbona haiandiki hii Primary hii Secondary inaandika tu

MFANO
1) Kilaka School 1 position History
2) Kinje School 1 Position Geography

Hii inakuwaje maana wa Arts tunahitaji kuomba Msingi au mfumo unaweka Automati Shule Msingi kwa arts.
 
Hapo mfumo ndipo ulipo fail yaani unakuta mwaka jana uliomba sec kwa masomo ya arts ila saivi mfumo bado una retrieve taarifa za secondary na huwezi badilisha chochote ila kwa wanao jisajili kwa mara ya kwanza mfumo unahitaji kuchagua primary na huenda shule zinakuja za msingi kabisa
 
Hapo mfumo ndipo ulipo fail yaani unakuta mwaka jana uliomba sec kwa masomo ya arts ila saivi mfumo bado una retrieve taarifa za secondary na huwezi badilisha chochote ila kwa wanao jisajili kwa mara ya kwanza mfumo unahitaji kuchagua primary na ahuenda shule zinakuja za msingi kabisa
Aisee Serious maana kwa hoja hii sawa na kusema 99% ya walimu wa Arts ambao wanahitajika kuomba Primary wameomba Sec kwalugha nyengine Arts wote watakosa ajira...Coz wanajisajiri upya wachache
 
Wewe huhusiki jomba. Mwisho ,2019
sio mm boss ,mm sio mwalimu nauliza on behalf ya mwanangu kamaliza 2020 nimesoma tangazo kwamba 2020 hawahusiki lakini last time watu wali apply pasipo kuangalia vigezo vya mwaka na wakawa selected nawaza jinsi ya ku trick system na ili system hi accept application .
 
yani maswali mengine ni ya kitoto ivi nyie walimu mnakwama wapi kwani...? kama ungekuwa ulisoma tangazo ukalielewa usinge uliza swali kama hilo....
 
Hapo mfumo ndipo ulipo fail yaani unakuta mwaka jana uliomba sec kwa masomo ya arts ila saivi mfumo bado una retrieve taarifa za secondary na huwezi badilisha chochote ila kwa wanao jisajili kwa mara ya kwanza mfumo unahitaji kuchagua primary na huenda shule zinakuja za msingi kabisa
Mwaka jana wa arts pia walitakiwa kuomba primary
 
sio mm boss ,mm sio mwalimu nauliza on behalf ya mwanangu kamaliza 2020 nimesoma tangazo kwamba 2020 hawahusiki lakini last time watu wali apply pasipo kuangalia vigezo vya mwaka na wakawa selected nawaza jinsi ya ku trick system na ili system hi accept application .
Jaribu kuitrick bas
 
It doesn't matter who you are but whom you know
 
Sasa unanambia hivyo mm na ualimu wapi na wapi mbona kama unaweka kijicho,mm mhandisi by professional boss kwa hiyo usiwaze ukajua nitawawekea jam kwenye hivyo vinafasi buku.

Una akili za kichawi wewe 😂😂😂
 
Sasa unanambia hivyo mm na ualimu wapi na wapi mbona kama unaweka kijicho,mm mhandisi by professional boss kwa hiyo usiwaze ukajua nitawawekea jam kwenye hivyo vinafasi buku.

Una akili za kichawi wewe
Alokwambia mi naaply nani?au unajua mi nimemaliza shule juzi hapo nimejibu swali maana umedai mwaka jana hata wa 2019 waliajiriwa ikiwa hawakuruhusiwa hata kuomba?inamaana hata simple englishi hujui? alafu wewe huwezi kuwa mhandisi
 
Huyo ni atakua ni "mwandisi"
 
Back
Top Bottom