Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Sikutegemea kabisa kuona wafanyakazi wa ovyo kama wa basi la OTA . Lugha chafu na Mnatoza fedha hadi kwenye mabegi.
Mmiliki kama unasoma haya waonye wa wafanyakazi wako. utapotea kwenye hii biashara muda si mrefu.
Abiria amelipa nauli bado unamdai na pesa ya mzigo, ili iweje? na risiti hamtoi?
OTA Ovyo kabisa.