Osia kwa akina Dada !!!!!!!!!!!!!! Orignal komedi huyooooooooooooooo

Ze Original Comedy, sawa mnaelimisha jamiii, lakini mngeacha uchoyo mnawabania sana dada zetu, sehemu ya kucheza msichana anakaa mwanaume, dada zetu wako wengi kwanini mnawabania?? washirikisheni!!
 
akiiingia mwanamke tu kwenye lile kundi hakika litavunjika. Its better wakae hvyo hvyo walivyo.
 
Back
Top Bottom