Oscar Oscar acha hizo 'Interviews' katika Media zitakuponza kuwa unafanya 'Pre-Campaign' na utalimwa na Kamati ya Uchaguzi

Bumbuli hana ata sifa ya kutokea Tabora labda huko Usoke ndio wanatoka wanywezi wa Kariba yake, jamaa Mshamba Mshamba Sana, Yani miaka yote aliyokuwa Yanga ameshindwa kujibrand kabisa anaacha kina Nugaz miaka 2 Tu teyari wametoboa kisa Yanga ye yupo Tu, mtabora gani kazubaa zubaa vile hajurikani ni kijana au mzee
Umemaliza kila Kitu Mkuu siongezei....!!!

Cc: mtaa umetulea
 
Mimi nadhani lengo lake sio Urais wa TFF. Nadhani ana lengo lake lingine na ili kulifikia ni kupitia huku tff,,, na kwa hiyo ikitokea ameondolewa itakuwa kwake ni habari.

Na hiyo habari ndiyo aliyoitaka kumfikisha kwenye lengo la msingi.
Naam naam
 
Back
Top Bottom