Osama Bin Laden katika picha

Champion_Boy

Member
Jul 13, 2018
24
77
Mvulana aliyevaa shati la kaki (brown) wa pili kushoto ni Osama bin Laden hapo akiwa na umri wa miaka 14. Picha hii ilichukuliwa mwaka 1971.

Osama bin Laden aliuawa kwa kupigwa risasi na kikosi maamlum cha Marekani May 2 2011 Nchini Pakistan.

Screenshot_2020-02-12-00-46-22-347_com.quora.android_1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mvulana aliyevaa shati la kaki (brown) wa pili kushoto ni Osama bin Laden hapo akiwa na umri wa miaka 14. Picha hii ilichukuliwa mwaka 1971.

Osama bin Laden aliuawa kwa kupigwa risasi na kikosi maamlum cha Marekani May 2 2011 Nchini Pakistan.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikusahihishe, Osama ni wa pili kulia na siyo kushoto, ni huyo aliyezungushiwa duara jekundu...

2C1B6F0F-EF71-4135-A21E-1C1D67BBF87A_w1200_r1_s.jpg

Na hapa chini akiwa kwenye mafunzo ya judo mwaka 1984

judo3_3.jpg
 
Alafu huyo mwamba yupo hau taarifa za kifo chake white house walitunga ndo maana Obama na yule waziri zilitofautiana
Mmoja alisema walimuua kwenye mabishano ya risasi Obama akasema walimkuta akiwa anajenga ndoa (sex)
 
Tafuta documentary ya Bin Laden shot to kill utajionea mwenyewe ndio utajua na mkweli nani muongo.
 
Back
Top Bottom