osaka yapata ajali mbaya same

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
Basi la osaka lililokuwa likitokea arusha kuelekea dsm limepata ajali maeneo. ya same klm. watuwanaelekea kuangalia majeruhi hosptali ya wilaya ya same. nami nikifika huko nzakujuza zaidi
 
poleni majeruhi. hii kampuni wanakimbia sana nilipanda siku moja nikaapa ritarudia tena
 
kwani mmesahau kuwa huu ni mwezi wa damu? mwezi wa kwenda kutoa hesabu na kujisafisha tayari kwa next year! Damu ni ukombozi kwa biashara zetu!
Kumbukeni hata Jesus alimwaga damu yake kuwakomboa nyinyi!
 
Wanakimbia mno halafu unakuta kuna wapambe wamekaa karibu na suka kazi yao et ndo kumwelekeza suka aendesheje,
 
kwani mmesahau kuwa huu ni
mwezi wa damu? mwezi wa kwenda kutoa hesabu na kujisafisha tayari kwa
next year! Damu ni ukombozi kwa biashara zetu!
Kumbukeni hata Jesus alimwaga damu yake kuwakomboa nyinyi!

Sidhani kama kafara zenu za kibiashara zinaweza kufananishwa na damu ya Yesu na uhai wake aliopoteza kwaajili yetu
 
chanzo cha ajali ni kukatika kwa shaft ambayo ikakita kwenye lami ma kusabanisha basi kupinduka
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom