amina mtumishi!Damu ya Yesu ikawaponye majeruhi..
Damu ya Yesu ikawaponye majeruhi..
kwani mmesahau kuwa huu ni
mwezi wa damu? mwezi wa kwenda kutoa hesabu na kujisafisha tayari kwa
next year! Damu ni ukombozi kwa biashara zetu!
Kumbukeni hata Jesus alimwaga damu yake kuwakomboa nyinyi!
Damu ya Yesu ikawaponye majeruhi..