ORYX pakeni rangi mitungi yenu inatia kinyaa

usije kuwa ushindani wa biashara ...........!!
Hapana Mkuu ndioo biashara yetuu

Semawanatutesa Sana wanaombwa kubadilika awataki simaanishii to michafuu imechakaa hataukisafisha tunawaomba wapake rangibasi
 

Attachments

  • FB_IMG_1482229317150.jpg
    FB_IMG_1482229317150.jpg
    75 KB · Views: 47
Toka company ianzishwe mitungi ya mwanzo ipo vilevile licha ya rangi hata ikienda michafu ina mavyakula inarudi hivyohivyo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom