Nataka
nichukue mtungi wa gas, bt sijajua aina gani ya gas nichukue kati ya
oryx na mihan gas. Mwenye experience za matumizi tafadhali nisaidie
kiushauri. Shukrani sana
Ndugu Nakushauri sana uchukue MIHAN GAS kwan inakaaa sana hiii nimeiona practically na ndo naitumia mpaka napata wasiwasi kama inakata leo au kesho ila ina zaid ya miez sita kwa kweli ninavyo kuambia kwan nimeinunua desember mwishon mpka sasa ninatumia!Nataka
nichukue mtungi wa gas, bt sijajua aina gani ya gas nichukue kati ya
oryx na mihan gas. Mwenye experience za matumizi tafadhali nisaidie
kiushauri. Shukrani sana
Ndugu Nakushauri sana uchukue MIHAN GAS kwan inakaaa sana hiii nimeiona practically na ndo naitumia mpaka napata wasiwasi kama inakata leo au kesho ila ina zaid ya miez sita kwa kweli ninavyo kuambia kwan nimeinunua desember mwishon mpka sasa ninatumia!
thanx
Lakin ungemweleza kua it depend na matumiz mkuu gas kadri inavyotumika ndivyo inavyoisha
Kwani kauliza Lake gas?mbona unaenda nje ya uwigo?Jaribu LAKE GAS
Kwani kauliza Lake gas?mbona unaenda nje ya uwigo?
ninachomweleza matumizi hayajabadilika ila muda ndo umebadilika .... mara ya kwanza nilikuwa natumia Orxy ikakaa 4 monthes later nikanunua MIHAN ndio ilicho nistaajabisha
kwa hiyo mayumizi yapo pale pale ila muda ndo umebadilika
Nataka
nichukue mtungi wa gas, bt sijajua aina gani ya gas nichukue kati ya
oryx na mihan gas. Mwenye experience za matumizi tafadhali nisaidie
kiushauri. Shukrani sana
Kwanini mihan iwe nzuri kuliko oryx wakati wote wanajazia kituo kimoja?
Nakushauri nunua Mihan Gas kwanza kwa sababu ina valvu salama, pili ni cheap kuliko Orix na taru inajazwa vizuri zaidi kuliko OrixNataka
nichukue mtungi wa gas, bt sijajua aina gani ya gas nichukue kati ya
oryx na mihan gas. Mwenye experience za matumizi tafadhali nisaidie
kiushauri. Shukrani sana
🤔 🤔 👊👊Nakushauri nunua Mihan ni cheap kuliko Orix na inajazwa vizuri zaidi kuliko Orix