Oryx na Mihan gas, which is the best choice?

SENGATI

Senior Member
Jan 18, 2013
127
26
Nataka
nichukue mtungi wa gas, bt sijajua aina gani ya gas nichukue kati ya
oryx na mihan gas. Mwenye experience za matumizi tafadhali nisaidie
kiushauri. Shukrani sana
 
Nataka
nichukue mtungi wa gas, bt sijajua aina gani ya gas nichukue kati ya
oryx na mihan gas. Mwenye experience za matumizi tafadhali nisaidie
kiushauri. Shukrani sana

nadhani kama umeangalia vizuri hili ni jukwaa la mambo yanayohusiana na ajira sio mitungi ya gesi!
 
Wabongo bwana hata hili dogo kabisa unashindwa kuling'amua,hivi katika pitapita yako ni mtungi gani unapatika kwa urahisi kati ya Mihan na Oryx.Maana yake unaopatikana kwa urahisi ndio mzuri otherwise usishangae unaishi Kimara Suka then mtungi unaufuata Ubungo
 
Nataka
nichukue mtungi wa gas, bt sijajua aina gani ya gas nichukue kati ya
oryx na mihan gas. Mwenye experience za matumizi tafadhali nisaidie
kiushauri. Shukrani sana
Ndugu Nakushauri sana uchukue MIHAN GAS kwan inakaaa sana hiii nimeiona practically na ndo naitumia mpaka napata wasiwasi kama inakata leo au kesho ila ina zaid ya miez sita kwa kweli ninavyo kuambia kwan nimeinunua desember mwishon mpka sasa ninatumia!
thanx
 
Lakin ungemweleza kua it depend na matumiz mkuu gas kadri inavyotumika ndivyo inavyoisha
 
Lakin ungemweleza kua it depend na matumiz mkuu gas kadri inavyotumika ndivyo inavyoisha

ninachomweleza matumizi hayajabadilika ila muda ndo umebadilika .... mara ya kwanza nilikuwa natumia Orxy ikakaa 4 monthes later nikanunua MIHAN ndio ilicho nistaajabisha

kwa hiyo mayumizi yapo pale pale ila muda ndo umebadilika
 
NINASHUKRU SANA KWA MICHANGO YENU, NIMEFANYA MAAMUZI YA KUCHUKUA MTUNGI WA MIHAN...this is the real meaning of freedom of choice
 
kuna mikoa mingine mihan hazipo ni oryx to ila kama uko kwenye majiji then its fine!
 
ninachomweleza matumizi hayajabadilika ila muda ndo umebadilika .... mara ya kwanza nilikuwa natumia Orxy ikakaa 4 monthes later nikanunua MIHAN ndio ilicho nistaajabisha

kwa hiyo mayumizi yapo pale pale ila muda ndo umebadilika

Mkuu hapo kwa red ilibidi ununue mtungi mwingine au mtungi huo huo wa oryx unazapata mihan? mmeni-convince nataka nijaribu hiyo mihan
 
MIHAN hata mimi na recommend ninautumia sasa ..

ILA NINA ANGALIZO KWA WATUMIAJI WA MITUNGI YA GESI YOTE
HII NI KWA WOTE WAPYA NA WATUMIAJI WA ZAMANI HII MITUMBI INA RUBBER AMBAYO IKO KWENYE MDOMO WA HII MITUNGI KWA HIYO INAWEZEKANA UNAPOKWENDA KUNUNUA MTUNGI HII RUBBER INAWEZA ISIWEPO INATOKEA MARA CHACHE KAMA ILIVYOTOKEA KWANGU RUBBER HII INATUMIKA KUTIGHT REGULATOR UNAYORUHUSU GESI KWA HIYO NI MUHIMU KUANGALIA KABLA UJAONDOKA NAO . KWA WATUMIAJI WA ZAMANI INAWEZA IKAWA HAIJAWAHI KUKUTOKEA ILA IKUTOKEA USISHANGAE HAKIKISHA UNAKAGUA MTUNGI KABLA UJAONDOKA NAO KWA MUUZAJI..
HII IMENITOKEA MIMI NILIKUWA KILA NIKITAKA KUWEKA MTUNGI ON GESI INA LEAK NIKAUCHUNGUZA NIKAGUNDUA HUU MTUNGI ULIKUWA HAUNA HII RUBBER. NIKARUDISHA WAKANIWEKA RUBBER KUTOKA KWENYE MTUNGI EMPTY. SO KUWENI MAKINI MNUNUAPO HII MITUNGI INAWEZEKANA WANAJISAHAU WANAPOKUWA WANAJAZA
pia unaweza pitia huu mchango naona unaweza kukufaa sana wewe
https://www.jamiiforums.com/busines...ada-gas-naisha-haraka-sana-2.html#post5342563
 
Nataka
nichukue mtungi wa gas, bt sijajua aina gani ya gas nichukue kati ya
oryx na mihan gas. Mwenye experience za matumizi tafadhali nisaidie
kiushauri. Shukrani sana

Karibu lindi kuna MIHAN gas tu na kituo kiko kimoja tu.
 
Kwanini mihan iwe nzuri kuliko oryx wakati wote wanajazia kituo kimoja?

asante mkuu sikulijua hili...au pengine usimamizi wakati wa kujaza mmoja anaweza kusimamia mitungi ikajaa na mwingine ujazo ukawa mdogo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom