Oryx Energies kutoka Switzeland yatinga wizarani baada ya bomba lao kukatwa koj kwa amri ya Majaliwa

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati Dk. Juliana Palangyo akiendesha kikao kati ya kampuni ya nishati ya Oryx Energies yenye makazi yake jijini Geneva, Switzerland pamoja na watendaji wa Wizara ya Nishati na Madini. Lengo la kikao hicho lilikuwa ni kujadili utendaji kazi wa kampuni hiyo nchini.



Mkurugenzi Mtendaji kutoka kampuni ya Oryx Energies, Philippe Cortes (kushoto) akifafanua shughuli zinazofanywa na kampuni hiyo nchini Tanzania kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati Dk. Juliana Palangyo (kulia) katika kikao hicho.



Mkurugenzi Mtendaji kutoka kampuni ya Oryx Energies, Philippe Cortes akifafanua jambo katika kikao hicho.



Mkurugenzi Mtendaji kutoka kampuni ya Oryx Energies, Philippe Cortes (kushoto) akimwelekeza jambo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati Dk. Juliana Palangyo
 
Uzi wako hajakamilika jazia nyama.hii ni sawa na taarifa tu za ki ccm ccm kuficha mambo.


swissme
 
Nadhani heading ya thread ingekuwa "ORYX watembelea wizara ya nishati na madini" hapo ingekuwa poa
 
Mwenye thread naye jipu,usaha mtupu. Lugha wanayotumia hapo kwenye kikao ni cha bibi/malkia. Nadhani hata taarifa/mwaliko ulitolewa kwa kuvunja mayai. Kichwa cha thread na ulivyowasilisha haviendani.
 
Utaambiwa walikuwa na mkataba wa lile bomba, na wanadai fidia kwa bomba kukatwa, mkataba haujasitishwa, wakukurupuka.
 
Back
Top Bottom